Recent content by KICHINJIO 15

  1. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu okoa jahazi, UDART wameshindwa kuendesha mradi wa mwendo kasi

    Kama wewe ni mtumiaji wa usafiri huu usingesema hayo, labda uwe careless.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu okoa jahazi, UDART wameshindwa kuendesha mradi wa mwendo kasi

    Kutokana na hali hiyo, baadhi ya madereva wanagoma kimtindo, mfano tar 25/7/2016, kimara kulikuwa hakuelewki asubuhi. Baadhi ya wakatisha tiket wanamalizia hasira kwa abiria kwa kutoa huduma kwa maringo Hopeless kabisa
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiogope kama mumeo ana kibamia

    Sitaki ku-comment uzi huu, nitachelewa kufanyia majaribio na kusahau. Nitaleta mrejesho
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mrema: Nitapunguza wafungwa

    Alistahili kuteuliwa. Kuwa upinzani huku unampigia kura mgombea wa urais wa chama twawala sio mchezo
  5. K

    JamiiForums Tanzania Pale maji yanapofika shingoni kauli mbiu ya 'tunahakiki' ndio ngao

    CCM mnashindwaje kuwakata wezi walioko Chadema? Serikali inalalamika na wananchi wanalalamika. Kuwa ng'ombe ni shida
  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume Muislam

    Nahakiki wahitaji hewa wa wanaume hapa jf
  7. K

    JamiiForums Tanzania Pale maji yanapofika shingoni kauli mbiu ya 'tunahakiki' ndio ngao

    Utakuwa CCM hewa. Serikali ya ccm, uhakiki wa ki ccm, tunaoumia ni watz halafu unaleta uvyama hapa. Lazima utakuwa ng'ombe uliyekatwa mkia
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pale maji yanapofika shingoni kauli mbiu ya 'tunahakiki' ndio ngao

    Kwenye uhakiki kuna wahakiki hewa. Tutasubiri sana. Wanahakiki hadi uhakiki wenyewe mpaka wanasigina makubaliano ya mwajiri na mwajiriwa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je tumbuatumbua itamhusu na huyu?

    Akamuulize Prof Ndalichako. Akijibiwa tuletee mrejesho
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM na watumishi wa umma

    Mleta uzi yuko kwenye "Pepo ya Mbwege"
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM na watumishi wa umma

    Uzi wa lumumba lazima wautetee "kwa nguvu zote" ili wapate "ushindi." Wakati mwingine huwa napita tu kama mgeni na mji huu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania CCM na watumishi wa umma

    Upo kwenye gari, watu wanalalamikia huduma mbovu za taasisi za serikali, na wewe unajua kuwa haki ni mbaya. Utateteaje wakati huo kama sio unafiki? Au hukumwelewa mleta mada? utaratibu wa kukosoana kiofisi upo, na wakati mwingine huwa haufuatiliwi. Mifano hata wewe unayo.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pamoja na dalili zote za kunipenda, ila nimemtongoza kanibwaga

    Poa mkuu, nimekusoma
  14. K

    JamiiForums Tanzania CCM na watumishi wa umma

    Kuitetea serikali ya CCM kwa nguvu zako zote kwa sababu ni mtumishi wa UMMA ni sawa kabisa mkuu. Hata hospitalini dawa zikiwa hazipo/hazitoshi, madaktari na wauguzi waitetee serikali. Shuleni kukiwa sio rafiki kwa kujifunza na kujifunzia, walimu waitetee serikali. Maslahi ya watumishi wa UMMA...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamama Wema Sepetu,augua ghafla,alazwa ni baada ya kusikia ni lazima Magufuli awe m/kiti

    Haaaa haaaaa. Tuko pamoja mwanafasihi mwenzangu
Back
Top Bottom