Usiogope kama mumeo ana kibamia

Usiogope kama mumeo ana kibamia

Hiyo ya kuweka mto, angalau ungegusia kwa mwanamke mwenye retroverted uterus. Kwenye kibamia sina uhakika kabisa ktk utungishaji mimba.
Mkuu mie sio daktari, nimeleta hii topic tueleweshane.....

Anyways nimeona mahali,kuna kitu kinaitwa anogenital distance, ni distance from anus to the Base of the Penis.hao wenye anogenital distance ndogo(I presume ni vibamia) are seven times more to have fertility problems.

As I said sio mtaalam so I stand to be corrected!
 
Hapo umeamua tuu kuamsha hisia za watu lkn kwa hoja yako...sikubaliani kabisa na wewe.......fertilization? ver simple kuliko masharti hayo hahaaaaa.......umeamua kuonesha tuu ulivyo mmahiri ktk style wakat wa kula tunda....sio hyo tuu tunaweza kukupa vzur zaid ya hcho.....karibu.
Mmnh embu changia bana....so as you know mie natokea kule kny magogo mengi lol
 
Aliewambia mtu hawez pata mimba km mwanaume ana kibamia ni nani???naona tumeshanza pata MD wa mwendo kasi hapa nchini
 
Aliewambia mtu hawez pata mimba km mwanaume ana kibamia ni nani???naona tumeshanza pata MD wa mwendo kasi hapa nchini
Aliekuambia kuna mtu anazaliwa anajua
Kila kitu nani?just like you know about vibamia,kuna watu hawajui..km hujiskii kupost reply then don't do it.. Sio kuandika..no body can stop me writing here in JF... To the left please
 
Aliekuambia kuna mtu anazaliwa anajua
Kila kitu nani?just like you know about vibamia,kuna watu hawajui..km hujiskii kupost reply then don't do it.. Sio kuandika UJINGA..no body can stop me writing here in JF... To the left please
Ujinga nlioandika ni upi sasa?ckujua km hutaki critics kwe post yako sorry
 
Sitaki ku-comment uzi huu, nitachelewa kufanyia majaribio na kusahau. Nitaleta mrejesho
 
Tatizo siyo ujauzito tatizo ni kumfikisha mwanamke kileleni! Ingekuwa tatizo ni mimba watu wasingezama chumvini watu huzama chumvini kuwaridhisha wapenzi wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom