tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,042
- 25,448
du, kwa heri...naona nabishana na msukule wa Lumumba.usimsakame achana naye. "Kama una ushaidi nenda mahakamani kama huna shut up your mouth"

SHIKAMOOO MAGUFULI.
Nchi imeanza kurudi kwenye misingi yake.
Watumishi wa UMMA wote si vyema hata kidogo kutofautiana na ilan ya CCM ama kutokukubaliana na mtizamo wa RAIS.
kama wapo baadhi ni wale Malofa na mbumbumbu wasiotaka kukubali ukweli unaowazunguka.
Si busara kukaa kijiweni unakosoa utendaji kazi wa serikali wakati wewe ni mtumishi wa UMMA ambaye ni sehemu ya Serikali.
Kama kuna matatizo ama changamoto zinazokukwaza katika utekelezaji wa majukumu yako tumia vikao, weka mikakati ya utekelezaji na tumia vizuri hekima uliyopewa ili kuishauri serikali. Kuwa m-bunifu. Acha kukaa kijiweni ili uonekane mzunguzaji kwa kukosoa serikali.
Endapo kijiweni kwako imetokea watu wanakosoa serikali, ni wajibu wako kuitetea serikali kwa nguvu zote maana mtumishi wa UMMA ni sehemu ya Serikali ya CCM.
cc kitila mkumbo
Kinachonikera ni pale ninapowasikia watumishi wa UMMA wamekazania kuikosoa serikali wakati wananchi wanapokuwa wanailalamikia serikali kwa kutowapatia huduma fulani. Mara nyingine huenda inatokea kati ya huduma inayolalamikiwa mtumishi wa UMMA huyo anakuwa ni sehemu ya watumishi wanaotakiwa kuelezea au kutetea utoaji huduma. Badala yake anajitoa ufahamu ( hapa ndo unajitwika ulofa au umbumbumbu) anaanza kuikandia serikali ya CCM.
Si bure mara nyingi watumishi ya jinsi hii ni wabadhilifu sana kwa mali za UMMA. hupenda kutumia kivuli cha kuilaumu serikali ya CCM ili kuwapofusha wananchi wasitambue wizi wao.
Ubovu wa Serikali ya Ccm unachangiwa na mtumishi mmoja mmoja siyo "lumpsum" wa ngazi zote kuanzia kitongoji hadi Ikulu ama kuanzia Ikulu hadi kitongoji. Kwa hiyo unapopindisha utaratibu wa utoaji huduma fulani unakuwa wewe ni msingi wa kulaumiwa kwa Serikali ya CCM.
Na watumishi wa UMMA wachache wanaofanya kazi katika misingi ya utaratibu wanakuwa wao ni sehemu kubwa ya mafanikio ya serikali ya CCM.
Huo uzi haukuzungumzia Lugumi unataka kubadili thread content kibiafra fulan! Msukule? Ha haa acha hasira kiongozidu, kwa heri...naona nabishana na msukule wa Lumumba.
Unawaita watumishi malofa? Wewe ni mse... nge maana hukuwaajiri weweSHIKAMOOO MAGUFULI.
Nchi imeanza kurudi kwenye misingi yake.
Watumishi wa UMMA wote si vyema hata kidogo kutofautiana na ilan ya CCM ama kutokukubaliana na mtizamo wa RAIS.
kama wapo baadhi ni wale Malofa na mbumbumbu wasiotaka kukubali ukweli unaowazunguka.
Si busara kukaa kijiweni unakosoa utendaji kazi wa serikali wakati wewe ni mtumishi wa UMMA ambaye ni sehemu ya Serikali.
Kama kuna matatizo ama changamoto zinazokukwaza katika utekelezaji wa majukumu yako tumia vikao, weka mikakati ya utekelezaji na tumia vizuri hekima uliyopewa ili kuishauri serikali. Kuwa m-bunifu. Acha kukaa kijiweni ili uonekane mzunguzaji kwa kukosoa serikali.
Endapo kijiweni kwako imetokea watu wanakosoa serikali, ni wajibu wako kuitetea serikali kwa nguvu zote maana mtumishi wa UMMA ni sehemu ya Serikali ya CCM.
Kinachonikera ni pale ninapowasikia watumishi wa UMMA wamekazania kuikosoa serikali wakati wananchi wanapokuwa wanailalamikia serikali kwa kutowapatia huduma fulani. Mara nyingine huenda inatokea kati ya huduma inayolalamikiwa mtumishi wa UMMA huyo anakuwa ni sehemu ya watumishi wanaotakiwa kuelezea au kutetea utoaji huduma. Badala yake anajitoa ufahamu ( hapa ndo unajitwika ulofa au umbumbumbu) anaanza kuikandia serikali ya CCM.
Si bure mara nyingi watumishi ya jinsi hii ni wabadhilifu sana kwa mali za UMMA. hupenda kutumia kivuli cha kuilaumu serikali ya CCM ili kuwapofusha wananchi wasitambue wizi wao.
Ubovu wa Serikali ya Ccm unachangiwa na mtumishi mmoja mmoja siyo "lumpsum" wa ngazi zote kuanzia kitongoji hadi Ikulu ama kuanzia Ikulu hadi kitongoji. Kwa hiyo unapopindisha utaratibu wa utoaji huduma fulani unakuwa wewe ni msingi wa kulaumiwa kwa Serikali ya CCM.
Na watumishi wa UMMA wachache wanaofanya kazi katika misingi ya utaratibu wanakuwa wao ni sehemu kubwa ya mafanikio ya serikali ya CCM.
Pole! Unatakiwa kutuliza munkari.Unawaita watumishi malofa? Wewe ni mse... nge maana hukuwaajiri wewe
Not only kuajiriwa hata kuishi TZ inabidi uwe na kadi ya CCM hapo ndipo siasa inapohatarisha usalama wa nchi kwa sababu kama kigezo kimojawapo kitakuwa ni kadi ya uanachama basi hata wasomali, wanyarwanda, wakenya watakuwa na kadi za CCM na wataingia kichama kwenye kazi za serikali.Kwahali hii itafika kipindi tutaambiwa ukitaka kuajiliwa ni lazima uwe na kadi ya ccm.

Upo kwenye gari, watu wanalalamikia huduma mbovu za taasisi za serikali, na wewe unajua kuwa haki ni mbaya. Utateteaje wakati huo kama sio unafiki?Tumia vikao kukosoa au andika write up wasilisha katika menejimenti ya taasisi ya umma uliyipo.
Uzi wa lumumba lazima wautetee "kwa nguvu zote" ili wapate "ushindi."du, kwa heri...naona nabishana na msukule wa Lumumba.
Kuitetea serikali ya CCM kwa nguvu zako zote kwa sababu ni mtumishi wa UMMA ni sawa kabisa mkuu.
Hata hospitalini dawa zikiwa hazipo/hazitoshi, madaktari na wauguzi waitetee serikali.
Shuleni kukiwa sio rafiki kwa kujifunza na kujifunzia, walimu waitetee serikali.
Maslahi ya watumishi wa UMMA yakiwa yamepuuzwa, watumishi hao watetee serikali.
Tunahitaji "Ngoma ya Ng'wanamalundi" kulikomboa taifa hili kifikra
Mtoa Uzi hajitambuiKwa mwelekeo wa mtoa mada, utumishi wa 'umma' naona utanishinda. Huu sasa utakuwa utumishi wa chama.
SHIKAMOOO MAGUFULI.
Nchi imeanza kurudi kwenye misingi yake.
Watumishi wa UMMA wote si vyema hata kidogo kutofautiana na ilan ya CCM ama kutokukubaliana na mtizamo wa RAIS.
kama wapo baadhi ni wale Malofa na mbumbumbu wasiotaka kukubali ukweli unaowazunguka.
Si busara kukaa kijiweni unakosoa utendaji kazi wa serikali wakati wewe ni mtumishi wa UMMA ambaye ni sehemu ya Serikali.
Kama kuna matatizo ama changamoto zinazokukwaza katika utekelezaji wa majukumu yako tumia vikao, weka mikakati ya utekelezaji na tumia vizuri hekima uliyopewa ili kuishauri serikali. Kuwa m-bunifu. Acha kukaa kijiweni ili uonekane mzunguzaji kwa kukosoa serikali.
Endapo kijiweni kwako imetokea watu wanakosoa serikali, ni wajibu wako kuitetea serikali kwa nguvu zote maana mtumishi wa UMMA ni sehemu ya Serikali ya CCM.
Kinachonikera ni pale ninapowasikia watumishi wa UMMA wamekazania kuikosoa serikali wakati wananchi wanapokuwa wanailalamikia serikali kwa kutowapatia huduma fulani. Mara nyingine huenda inatokea kati ya huduma inayolalamikiwa mtumishi wa UMMA huyo anakuwa ni sehemu ya watumishi wanaotakiwa kuelezea au kutetea utoaji huduma. Badala yake anajitoa ufahamu ( hapa ndo unajitwika ulofa au umbumbumbu) anaanza kuikandia serikali ya CCM.
Si bure mara nyingi watumishi ya jinsi hii ni wabadhilifu sana kwa mali za UMMA. hupenda kutumia kivuli cha kuilaumu serikali ya CCM ili kuwapofusha wananchi wasitambue wizi wao.
Ubovu wa Serikali ya Ccm unachangiwa na mtumishi mmoja mmoja siyo "lumpsum" wa ngazi zote kuanzia kitongoji hadi Ikulu ama kuanzia Ikulu hadi kitongoji. Kwa hiyo unapopindisha utaratibu wa utoaji huduma fulani unakuwa wewe ni msingi wa kulaumiwa kwa Serikali ya CCM.
Na watumishi wa UMMA wachache wanaofanya kazi katika misingi ya utaratibu wanakuwa wao ni sehemu kubwa ya mafanikio ya serikali ya CCM.
Umesema vyema ila nikukumbushe kuwa Tanganyika ilikombolewa chini ya TANU. Ni chama hicho ndicho kilichounda Serikali.Watumishi wa umma huwa wanafanya kazi kwa circulars-hatusomi ilani ya chama chochote kiofisi na hata tunapoajiriwa hatupewi ilani ya chama hivyo wengi hawaijui ukiacha labda wanachama wa chama hicho na wale wanao chaguliwa kazi zenye ukada (ambao tuliona vitendea kazi vyao ni pamoja na ilani ya chama tawala). Yaliyomo kwenye ilani kuna wanaopewa majukumu kuyaingiza kwenye sera na program za serikali ambazo hutekelezwa na wafanyi kazi wa umma. Na kawaida hakuna sera ambayo ni 100% kamili-hivyo kawaida kuna kutafsiri sera inataka nini na hapo tena kuna weza kuwa na mawazo gongana.
Ukianza kufikiria kama unatekeleza sera ya CCM ndio unaweza kuishia kufanya yale usiotegemewa kuyafanya. Wafanya kazi wa umma hutekeleza sera za serikali na ndio wanachotakiwa kuona wanafanya full stop. Kesho ikiingia serikali chini ya chama kingine mtizamo unakuwa hivyo hivyo. Wale ambao hubadilisha ilani kuwa sera ya serikali na kuhahakikisha hilo linafanyika kukija serikali inayo ongozwa na chama kingine wao huachia ngazi au kutolewa ili wengine wahakikishe uingizaji wa sera za chama kipya.