Je tumbuatumbua itamhusu na huyu?

Je tumbuatumbua itamhusu na huyu?

Manchid

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Posts
221
Reaction score
481
Wadau kuna jamaa amesoma diploma ya procurement na akaomba degree education akapangwa. Yuko chuo mwaka wa pili sasa anapiga masomo ya history na kiswahili aliyoyaacha O-level.

Alipangwa kihalali na alikua na GPA ya 3.7. Sasa amekua akisoma kwa hofu sana kutokana na kutokuyasoma hayo masomo advance. Jee tumbua tumbua inamuhusu? Na kwanini alichaguliwa?
 
huyu nahic tumbua2 inamuhudu sana, mana huwezi kusoma kitu usichoke soma either diploma, certificate au A level, huyu ni magumashi mno
 
Hapo kuna mkanganyiko vipi na wale waliosoma pcm na pcb advnce then wakaenda kusoma geography kiswa au history?
 
Dah! Mwambie Akasafishe Room yake Geto aliyoitelekeza
 
Basi kama ni hivyo wengi wataondolewa vyuoni
 
Unakuta mtu kasoma hkl lakini anasoma it...
 
Back
Top Bottom