ml
tatizo mafundi mnatamaa sana kwa nn usi kusanye hicho kidogo kidogo ukapata wateja wengi, mm nashida na kioo chaTv aina ya HIER nchi 50 ila kwa bei hii ni shida sana
pole sana mkuu ila ndo aina ya radio stations tulizonazo na ndo aina ya watangazaji.tuliona nao, wengi wao wana upeo wa kawaida sana kuweza kualika academic interllectuals na kuweza kufanya mijadala yenye mashiko na faida kwa jamii. so uwahurumie tu. pili hata huyo wanayemhoji professionally ni...
HAINA NENO TUTAMWAMBIA RAIS WETU KIPENZI AWE ANAFUNGA NETI POPOTE ANAPOKUWA ILI HAWA JAMAA WASIJE WAKATULETEA MAMBO YA entrepreneurship hapa TZ. waishie hukohuko na mbu wao wa kuchonga
biashara zetu tunazifanya kiajabu ajabu sana mtu anauliza bei unamwambia aje whatsap, unaulizwa kila kitu njoo whatsap watu wengine wanaogopa security ya namba zao. isitoshe tupo wengi tunaopenda kujua hata hizo bei sasa kama kitu ni njoo whatsap inakuwa shida kidogo
to understand this u need to think out of the box. hawa jamaa huwa wanamatusi ya kiwango cha juu sana si lazma wakunyoshee kidole. When they to they mean a lot. wenye upande ule wameelewa.
kiukweli ni tatizo lingine ambalo wahusika wanatakiwa wawe serious. unakuta inaissues za maana ghafla unasikia mlio wa sms na pengine ulikuwa na ahadi ya mtu akutumie hela sasa unasubiri. unasikia mlio unachukuwa simu kwa heshima zote lakini unakutana na huu upuuzi. pengine labda kwetu namba ya...
mimi nadhani BASATA nao ni jipu tuu kila mara wanawaita na kuishia hapo. au wanapowaita huwa wanatoa maelezo ambayo yanatosha kuhalalisha huu upuuzi wanaopost kwenye mitandao. mimi siyo mjuvi wa sheria lakini kwa haya yanayoyanayoendelea kuwekwa kwenye mitandao yanaonyesha ni aina gani ya jamii...
pole sana kwa kuuguliwa, mpe pole pia mama . ningekushauri aende akaonane na Dr. Zipo baadhi ya dawa za pressure ambazo baadhi ya side effects zake ni maumivu ya kichwa so Dr ataona kama ipo haja ya kubadirisha dawa au kupunguza dose. lakini pia anaweza kufanya baadhi ya vipimo ili kujiridhisha...
Na kuna mwingine kaniambia hata hawa wanaojiunga na kupewa nafasi tena za kugombea kwa kumuunga mkono mkuu wetu eti nao ifikapo 2020 kama watapitishwa tena wana mpango wa kujitoa nyakati za mwisho na kuwaacha wale wengine wapite bila kupingwa kwa hiyo waambie pia waliangalie hili.kama wanaweza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.