Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

Wauza mitumba grade "A" kwa Jumla

Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.
Mkuu usiwe mbishi mimi mwenyewe kuna ballo nimetafuta kule kwa wahindi nimekosa
Nimetamani kulipata kwako ila kwa majibu ya kwenda whatsap mmmh haya kila la kheri.
 
Mkuu usiwe mbishi mimi mwenyewe kuna ballo nimetafuta kule kwa wahindi nimekosa
Nimetamani kulipata kwako ila kwa majibu ya kwenda whatsap mmmh haya kila la kheri.
Kama ni mfanya biashara wa kweli sioni tatizo, wenye nia ya kweli wanauliza maswali na nawajibu, na tunaendelea na process inayofata. Watu wengine kazi kukosoa/dharau na kuvunjana moyo tu, hakuna cha zaidi. WATANZANIA ndio maana hatuendelei.
 
Mie nataka belo la masweta yenye Kofia na majaketi ya water Proof yenye Kofia na mikono mirefu. Kama unayo nipe bei yake fasta
 
Kama ni mfanya biashara wa kweli sioni tatizo, wenye nia ya kweli wanauliza maswali na nawajibu, na tunaendelea na process inayofata. Watu wengine kazi kukosoa/dharau na kuvunjana moyo tu, hakuna cha zaidi. WATANZANIA ndio maana hatuendelei.
Ok all the best.
 
anayekuvunja moyo nani ? huo muda wa kumjibu kila mtu whatsapp si ungefanya mambo mengine kama kila kitu ungeweka wazi hapa
 
Hii ipo kwa wafanya biashara wengi sijui kwanini
biashara zetu tunazifanya kiajabu ajabu sana mtu anauliza bei unamwambia aje whatsap, unaulizwa kila kitu njoo whatsap watu wengine wanaogopa security ya namba zao. isitoshe tupo wengi tunaopenda kujua hata hizo bei sasa kama kitu ni njoo whatsap inakuwa shida kidogo
 
Kila mtu ana aina ya biashara ya aina yake mwingine anahitaji nguo za watoto, mwingine za kiume mwingine za kike, ninapomwambia mtu njoo whatsapp ni tuweze kuulizana maswali yote hayo, hapa tutajaza uzi na km ukiangalia majibu kuna niloyemjibu bei ni kuanzia 650,000 kuja chini. kila aina ya nguo na bei yake, Nadhani nimeeleweka.
Nani kakwambia uzi unajaa? Kwani umesikia wamiliki wamelalamika?
 
Sasa kama kila kitu unasema "NJOO WHATSAPP", sasa umeleta huku JF taarifa ya kazi gani..?? Si ungetusubiri huko huko whatsapp tuje...!!!!

Ukiweka bango la biashara, disclose details zote muhimu ili uache wanunuzi waamue. Sasa kila kitu unaficha, ukiulizwa unasema njoo watsapp.
Dalali haoooo
 
Pole sana mleta uzi, sisi watanzania bwana hatuna subra aise, wamekushambulia sana tu... na ndiyomaana hatwendelei.
 
Hawajui biashara naona wamtafute member mmoja humu Mwl ndio atawafundisha biashara zikoje na huwa zinatangazwa vipi maana huyo member ni noma anaijuwa biashara hawa wengine wahuni tu
 
"NJOO WHATSAPP" na sisi tunakwambia njoo Jamiiforum. hipo hivi kama unaweza mkujibi kila mtu huko whatsapp huku jibu moja unawajibu maelfu.

Fanya hivi
wauzaji wa mitumba Grade A kwa jumla (Mabalo), tunapatikana Mapambano karibu na Zahanati ya kijitonyama,
Nguo za watoto Grade A (WAKIKE WA KIUME BEI...........?
Nguo za kiume( mashati ya kiume...............?
Nguo za kiume Jeans bei .......................?
Nguo za kiume suruali za kawaida kitambaa bei.........?
Nguo za Kike Blauzi and Top bei...........?
Nguo za kike Magauni .........?
Ngou za kike Sketi, bwanga na Pajama bei.....?
Nguo za kiume Tshirt bei......?
kama una nguo za ndani wanume au wanamwe bei ...?
Mokaba ya wanawake bei......?

Taja na nchi zinapotoka pia. Grade A za china ni tofauti na Grade A za EUROPE AU AMERIKA YA TRUMP
 
Back
Top Bottom