Recent content by KICHAPO

  1. K

    Wachumba wasiolingana kielimu

    Elimu ni muhimu sana . Kuna tofauti kubwa kati ya kusoma na kuelimika sasa watu wengi wanaangalia kasoma hadi level gani lakini si mtu ana uelewa gani.DINI nayo ndio msingi wa ndoa hakuna ndoa bila ya dini kwahiyo mume anaweza kufuata dini ya mke au mke akafuata dini ya mume hapo ni maelewano yao.
  2. K

    waziri mkuu Mizengo Pinda iga mfano wa waziri mkuu wa japan

    Sisi hatuna waziri mkuu,umeona jinsi huyo mzee alivyoropoka mjengoni juu ya issue ya Arusha?Tangia siku ile alipojibu utumbo wa bata nikamtoa ktk thamani yake.Yeye hana shida sisi tuhangaike kivyetuvyetu.
  3. K

    Vijana DAR kuundamana kuunga mkono hotuba ya Kikwete

    ccm wanaandamana kuunga mkono hotuba ambayo haina mvuto,JK ktk hotuba zake anadesa hadi nukta hana uwezo wa kuongeza mambo yaliyo ya msingi ,akishaandikiwa na Janury Makamba anaisoma kavukavu ndo maana hotuba zake hazivutii kusikiliza.Waandamane kwa unafiki wao na polisi wawlinde jamaa zao ila...
  4. K

    Chadema yaliza watumishi halmashauri ya jiji mwanza!!

    Mwevitinyekiti wa Halmashauri akiwa fisadi anao uwezo mkubwa wa kumshawishi Mkurugenzi na wakaiba mamilioni ya shilingi,ndio maana huku mikoani tunawaona wenyeviti wakijenga mahekalu na kununua magari wakati hawana mishahara ya kueleweka.Hilo la Mwanza linawezekana kwani Meya anao uwezo wa...
  5. K

    Ni woga wa Kikwete ama ndio serikali inavyotakiwa kuwa

    TUOMBE: Ee KIKWETE uliye tufilisi, jina lako USANII MTUPU,utakalo lifanyike BAGAMOYO tu, utupe leo mabilioni yetu ya EPA, uwapeleke MAFISADI wote mahakamani, uwalipe wastaafu pesa zao,CCM ianguke kwenye uchaguzi ujao kama wewe unavyoanguka majukwaani,usiwalipe DOWANS kama vile unavyofikiria AMIN...
  6. K

    HALI ya DR Slaa IKOJE?

    Huyo ni kafiri wa mawazo,kabla ya DR.kuibua EPA alikuwa anaijua?Katiba ni ya wote si ya ccm wala CHADEMA Tanzania kwanza
  7. K

    New: Nafasi za kazi UDOM!

    Asante mkuu weka zingine kadri unavyozipata
  8. K

    Hivi nikitumia moderm 3 kwa wakati mmoja nitaongeza speed ya Mtandao?

    Modem hata moja inaweza kukupa speed ya kutosha ila sasa inategemea upo ktk category gani ya malipo ya hiyo kampuni unayotumia,mfano data week ya airtel inakupa 3GB,Data siku 20MB,kwa ujumla mwenye data week atapata speed kubwa kuliko data siku ok?
  9. K

    Msitafute kazi kabla hamjajua talent zenu

    Jaribuni kujua kazi ya KIIZA
  10. K

    Msaada laptop inagoma kustart

    ILETE ILA UJE NA SH 50,000/= au mpelekee IT technician aliyeko karibu nawe hata ukiwa na CD ya XP usijaribu kurepea unaweza ukaharibu kabisa:A S thumbs_down:
  11. K

    Msitafute kazi kabla hamjajua talent zenu

    Kila mtu kazaliwa na kipaji chake , unaweza ukasomea uhasibu ukajafanya kazi ya kuzoa taka, au kumbe wewe ni mpaa samaki feri.Ingizeni majina yenu kwenye hiyo excel then mtajua kazi zinazowastahiki.
  12. K

    Kazi na umri

    Wana JF habari za weekend,hivi inakuwaje taasisi au shirika linatangaza nafasi za kazi halafu wanaweka kitu wanaita AGE LIMIT yaani kuna umri ukiwa umezidi hapo usiombe.Zaidi wanapenda not more than 35 yrs,sasa wanaosoma wakiwa over 35 waende wapi?
  13. K

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Nauliza wadau mayai ya ndege yakianguliwa watot wanaitwaje?!
  14. K

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Hivi mayai ya ndege yakiatamiwa,wale watoto wakianguliwa wanaitwaje vile?!
Back
Top Bottom