Possi alifikiri yupo kikao cha ndani cha chama.
Ukweli wa matukio ya October 29/2025 ni kilele cha ukandamizaji wa wazi wa serikali kwa raia wake baada ya kuwanyima fursa ya kikatiba kujichagulia kiongozi kwa ngazi zote.
Sii diwani, mbunge wala Rais anaepatikana kwa sanduku la kura.
Kwa hiyo...
Chanzo ni kimoja tu na hakuna viwili.
Ni serikali kupora mamlaka na haki ya raia kuchagua kiongozi wao ngazi zote kuanzia diwani, mbunge na rais.
Katika kushikilia mpango huu serikali ikatumia polisi kuteka, kupoteza na kuua kila anaehoji.
Na waliobahatika kupotezwa au kuuawa wakawa...
Kitabu cha ufunuo wa Yohana kina ujumbe wa injili kwa yale makanisa saba yaani Efeso, Smirna, Pergamo, Thiatira, Filladelfia na Laodekia yote haya ni Asia kama utaangalia ramani ya wakati ule. Ni wazi kuwa baada ya Israel kumkana Masihi angeliwageukia mataifa(nimekuja kwao walio wangu...
Biblia ni kitabu cha ufunuo na hili linathibitishwa na Yesu mwenyewe Matayo 11:27 juu ya ufunuo wa kumjua baba ni kwa kufunuliwa na mwana tuu.
Sasa ukija katika agizo la ubatizo la Matayo 28:19 hili Yesu aliliagiza kabla hajafa na kufufuka.
Wanafunzi wake walikuwa na katazo la kutokuzifanya kazi...
Adamu aliumbwa akiwa ni kiumbe cha milele. Mungu aliemuumba akampa utashi wa kupambanua na kufanya uchakuzi kwa kigezo cha yeye kumpa option ya kula au kutokula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya.
Adamu alipochagua kula tunda matokeo ikawa kukaribisha kifo. Siri ipo katika ulaji wa lile...
Afrika, Afrika, Afrika.
Kule mtu kauawa kisa kakufuru kwa kumkosoa mtu.
Sasa njoo Tz watu na sii mtu wameuawa kwa kumkosoa mama.
Ukiataajabu ya Niger unakutana na kutekwa kwa kina Mdude.
Mzee Mpango alinusa kitu akaamua kujiweka pembeni mwenuewe na sasa Majaliwa amenusa kitu kile kile hasa baada ya Makonda na Lengai kuchukua fomu ndani ya chama za kugombea.
Hili halihitaji watu waliosoma Cuba kung'amua ni wazi walioangamiza utengamano na umoja wa kitaifa wanakusanywa pamoja kwa...
Hananja na Tarimba mbunge Kinondoni ni ma partner kwenye manufaa ya biashara ya unga.
Lazima ainuke kutetea ugali wake.
Kanisani Lutheran alitupiwa virago maana hana sifa za kuwa mchungaji wa kondoo.
Yezebeli alijitahidi kumuua Eliya ila kilichotokea ni Yeye kuuawa na jemadari Jehu.
Chuki na ubaya unapozidi ni dalili za mwisho za kumsukuma mdhalimu kuharakisha mwisho wake.
Chadema apewe Lissu uenyekiti atangaze vita wanachama wachinjane na ccm kuleta heshima.
Hekima ya Mbowe kutuliza wenye haraka ya kumwagana damu inazuia mageuzi.
Lissu = Kisasi
Mbowe = Uvumilivu.
Mbowe asingekuwepo Chadema kwa hulka na tabia yake aliyazaliwa nayo,
Lissu kwa sasa angelikuwa...
Nguvu ile tuliyotumia kujikomboa kwa mkoloni mweupe haitoshi kutukomboa kwa huyu mkoloni mweusi ccm.
Inahitajika kuongeza nguvu kubwa zaidi kujikomboa kwa hawa nyang'au ccm ambao wamehamua kupora kila kitu kuanzia Pesa zetu , akili zetu hadi uchaguzi.
Mwogope sana mtu anaeamini kuwa binadamu...
Msamaha mtu huamba pale anapogundua kosa ila usipoliona kosa kuomba msamaha ni kujidhalilisha.
Neno "kama" kwenye sentesi ya kuomba msamaha linamaanisha mtu aombae msamaha hajui kosa lake na hivyo hana uhakika na kile wanachomtuhumu kwacho kuwa na ukweli wowote.
Zamani kwenye miaka ya 90's tulizoea kuona watoto wa mjini (waisilamu?) wakiwa wamefungwa hirizi(transistor )kiunoni au mkononi.
Leo hii kibao kimegeuka hirizi wanatembea nazo wanawake wa kikristo kwenye pochi zao ama ni udongo, chumvi, mafuta, rozari, kitambaa nk zenye kunuiwa ni hirizi.
Neno...
Ulimwengu wa mwili kuna mengi yamefichika na hasa kwa upande wa binadamu. Ndiposa tuna ambiwa kuwa kumkufuru baba Mungu au mwana kuna msamaha kama kufuru hiyo ikiungamwa na mhusika.
Lakini kumkufuru roho mtakatifu hakuna msamaha katika ulimwengu huu wala ule ujao.
Ulimwengu huu wa mwili kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.