Recent content by Kibundi wa getto

  1. Kibundi wa getto

    Msaada kwa walio Waislam

    Samahani wakuu,sina access ya jukwaa la dini.Nimeona niulize maswali yangu apa tafadhali: (1) Hivi inaruhusiwa kwenda beach na mkeo,na ni nguo gani za kuvaa,kwa maana hawezi kuingia na hijab ndani ya maji. (2) Je ninaweza kwenda na mke wangu sehemu za miziki na kuburudika bila kutumia kilevi...
  2. Kibundi wa getto

    Hakuna mbadala wa Magufuli kwa sasa, Hakuna...

    Wakuu,watu wamekua wanafiki wa kiwango kikubwa sana.Leo hii wanaona Magufuli hafai lakini wanasahau nchi hii imeibiwa kwa muda mrefu. Toka awamu ya 3 mpaka ya 4 watu wanaiba tu,kwanzia uongozi wa juu mpaka ngazi ya kata.Kila mtu alikua fisadi,na pesa nyingi mnaosema imepotea kwenye mzunguko...
  3. Kibundi wa getto

    Gharama za kuishi Marekani au UK

    Wakuu naombeni msaada wa kujua gharama za kuishi USA au UK,pamoja na vigezo na masharti.Malengo yangu ilikua ni kuishi hizo nchi toka kitambo tatizo lilikua kipato. Nataka nikaishi tu bila kufanya kazi sababu mimi nafanya online business ambazo ni worldwide so popote mimi life linaenda. Naishi...
  4. Kibundi wa getto

    Mheshimiwa Zungu akiwa kazini

    Duh,kazi kweli kweli
  5. Kibundi wa getto

    Richi Mavoko kajitoa rasmi WCB

    Wakuu leo ndio imethibitika kuwa Rich Mavoko ameshajiondoa WCB.Hii imebainika baada ya Mavoko kuachia wimbo mpya leo wa HAPPY huku ukiwa umerekodiwa studio nyingine tofauti na wasafi records. Jibu kamili limepatikana mda mchache baada ya kuachia huo wimbo ni pale alipoamua kufuta links zote...
  6. Kibundi wa getto

    Vituko, vitimbwi na msoto gerezani toka siku unaingia mpaka siku unatoka

    Hakuna ratiba ya kula rasmi,mnaweza kula ugali sambili asubuhi,iyo ndio mpaka kesho tena. Lazima uwe na stamala,ukilegea unaolewa.Aulazimishwi ila unatongozwa kama girl,na unahongwa kabisa ili tu uachie jicho. Kuoga sio lazima,coz hakuna iyo ratiba mpaka uwe mjanja ndio utaoga. Ukitaka kuishi...
  7. Kibundi wa getto

    Watu ambao hukwepa starehe, hata hawamiliki vitu vya kututisha sana sisi ' wala bata '

    Kuna vitu mnachanganya apa,usiseme mla bata ana stress , sijui hana maendeleo.Point ni kuwa unatumia kidogo unasave kikubwa.Unakuta mtu ana miradi kwa siku anaingiza faida ya laki1,anakula bata buku 30 anasave 50000 nyingine iyo matumizi nyumbani,we unafikiri anapungukiwa nini. Alafu maisha...
  8. Kibundi wa getto

    Ushauri wa biashara

    Umepata wapi iyo pesa kwa awamu hii.Ebu kuwa serious million 210,huna wazo la biashara wakati threads zako nyingi humu wewe ni mtu wa technology sana. Arooo Buraza ebu eleza vizuri
  9. Kibundi wa getto

    Unapenda lipi? kutumia pesa yako au pesa ya wengine kufanya biashara

    Mimi nitofautiane na wengine,kwangu napenda kutumia pesa ya mkopo kwenye biashara.Yani nikikaa bila biashara kudaiwa huwa sijisikii amani,mkopo uwa unanifanya niwe serious sana kwenye biashara. Nilianza kwa mkopo na sitokuja kuacha kukopa,coz huwa nafanya ela ya mkopo kama business guider
  10. Kibundi wa getto

    Koffi Olomide ndio msanii bora wa muda wote kutoka Congo

    Leo acha niseme ukweli wakuu,watu wanapenda kutompa mtu sifa zake mpaka afe. Toka kizazi cha kina Lwambo mpaka sasa kina ferre na fally hakuna msanii wa kumlinganisha na koffi kimuziki apo Congo.Sema watu wanapenda kutukuza vitu vya kale kama kwenye mpira wanavyompaisha Pele na Maradonna wakati...
  11. Kibundi wa getto

    Kuna aliyeonja keki ya taifa? Mimi bado

    Mimi nilidoj sana chuo,ela ya boom na field nilikua nafungulia miradi.Nadaiwa mil 10,kwa kweli mimi nimeshachukua changu tayari na sasa nipo mbali.Siidai serikali wala yenyewe hainidai sababu hajira hakuna cha kuwalipa sina.
  12. Kibundi wa getto

    Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

    Mbona watu wanasema Manji ni tajiri sana why hayupo
  13. Kibundi wa getto

    CCM ikitaka kufutika kwenye uso wa dunia, wamguse January Makamba

    Mbona picha ndio Kwanza linaanza,Yani ile nyimbo ya wataisoma namba sio kwa Watanzania sababu sie namba tumeshazoea kuisoma toka Mkapa. Ule wimbo ni special kwa wanaCCM,mbona mtajuta kumfahamu bwana JIWE
  14. Kibundi wa getto

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu msaada jinsi ya kuset betting limit per ticket,meridian
Back
Top Bottom