Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
Wakuu,watu wamekua wanafiki wa kiwango kikubwa sana.Leo hii wanaona Magufuli hafai lakini wanasahau nchi hii imeibiwa kwa muda mrefu.
Toka awamu ya 3 mpaka ya 4 watu wanaiba tu,kwanzia uongozi wa juu mpaka ngazi ya kata.Kila mtu alikua fisadi,na pesa nyingi mnaosema imepotea kwenye mzunguko ndio hiyo pesa ya wizi kila idara ya serikali.
Tulikua tunaishi fake life,nchi ilikua inauzwa kila idara.Leo hii Rais anashindwa kusafiri kwenda duniani huko sababu waliokua wanasafiri kabla yake waliuza kila kitu.Mikataba imesainiwa kila idara hakuna kuliko wazi.
SIRI AMBAYO WENGI HAMUIFAHAMU
Magufuri hajawa Rais kwa bahati mbaya,baada ya nchi kuibiwa kwa muda mrefu ilionekana hakuna mtu mwingine yeyote wa kuachiwa hili zigo la MISUMARI zaidi ya Magufuri.
Pamoja na mabaya yote aliyoyafanya JK,zawadi pekee aliyotuachia ni MAGUFULI.Hakutaka kutuachia wezi wengine atimae tungerudi utumwani.
Hii tabia alionayo Magufuri ndio ilimpa 100% ya kuaminika na kukubalika kuachiwa nchi iliyopitia vipindi vya kifisadi kwa muda mrefu.
Magufuri aliachiwa zigo la MISUMARI,tena zigo kweli kweli.
Narudia tena,kwa sasa hakuna mbadala wa Magufuri....HAKUNA...HAKUNA.