Mheshimiwa Zungu akiwa kazini

theriogenology

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
8,750
15,639
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Azzan Zungu akishuka kwenye usafiri wa bajaj wakati alipokuwa katika majukumu yake ya kila siku ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo la Ilala. #ZUNGUKAZINI
FB_IMG_1532685058105.jpg
FB_IMG_1532685054068.jpg
FB_IMG_1532685049125.jpg
FB_IMG_1532685046084.jpg
 
Mmhh uyo dereva wa bajaji alijua aliyempakia?? (Kama amejua am charge Mara mbili ya gharama)
Kulikua na ulazima wa kujipiga mapicha??
 
Mmhh uyo dereva wa bajaji alijua aliyempakia?? (Kama amejua am charge Mara mbili ya gharama)
Kulikua na ulazima wa kujipiga mapicha??
Mkuu bila picha utaonekana hufanyi kazi kwa hiyo camera muhimu sana...
 
Hata hivyo hiki ndio kipindi chake, kuelekea 2020.

Sasa hivi usishangae unakatiza Mtaani Mheshimiwa anakuamkia shikamoo.
 
Kwani cha ajabu nini hapo au Zungu kushuka katika bajaji ama Zungu kuwa katika shughuli zake za kuwahudumia wananch wake?
 
Napenda anavyoongoza bunge! Kwa haki, kistaarabu, kibabe na kihuni inategemea na wewe mbunge unavyomuingia! Anafiti kuwa spika kuliko mzee Job!
 
Back
Top Bottom