Leo najaribu kupanda basi hili la Katarama....
Kwa mjibu wa tiketi bus lilitakiwa kuondoka Mbeya saa 9... hadi sasa ni saa 9:50! Na hakuna dalili zozote kama bus hili litafika toka Tunduma.
Kwa waliowahi kupanda bus hili tokea Mbeya naomba ushauri wenu. Aidha hizi safari za transit hapa Tz...
Ni kweli kuna matengenezo ya barabara toka Beira hadi Lusaka, lakini sio kwa kiwango cha njia sita.
Ujenzi na matengenezo hayo yanafanyika kwa baadhi ya maeneo tu katika barabara hiyo kwa kiwango cha njia mbili.
Ikumbukwe kuwa umbali wa kutoka Beira hadi Lusaka ni Km 1050, huku umbali toka Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.