Recent content by kibumu

  1. K

    Mwalimu na Mwanafunzi sio poa!

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120]
  2. K

    Ni sawa kuvunja ndoa sababu kunyimwa unyumba?

    Dah aisee naanza kuogopa kwahyo hata ukioa mwingne ni kaz bule
  3. K

    Ni sawa kuvunja ndoa sababu kunyimwa unyumba?

    Habari za mihangaiko wakuu nmeoa ndoa yangu ina miaka 6 na tume balikiwa kupata watoto wawili changamoto kubwa iliyopo ni mke wangu kupoteza hisia kabisa na mimi kupata unyumba imekua ni kasheshe mpaka ajisikie yeye napo ni baada ya miez kadhaa utapewa kibabe kama unabaka vile mpaka naanza...
  4. K

    Kama Uchumbani unapewa mchezo kwa mbinde usimuoe! Ukifosi kumuoa jiandae kunyimwa hata mwezi/ mwaka mzima

    Nili fanya hilo kosa mpaka leo najutia lina nitesa sana kuchepuka sija zoea naona hasara nyingi kuliko faida
  5. K

    Wanaume badilikeni fanyeni maendeleo, umri haurudi nyuma!

    Bro unatumia bia gani tafadhali nkuagzie chupa hata tano
  6. K

    Ilikuwaje baada ya kupata mpenzi mtandaoni?

    Wote nili zagamua tu hamna hata mmoja alie toka salama asee ujana maji ya moto
  7. K

    Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

    Nakazia mtoa post upo sahihi kuna mmoja nme pga chn tabia zime nishinda aisee ila ni dem mkali balaa
  8. K

    Alinikazia enzi hizo, Lakini sasa kaachia. Hii imekaaje?!

    Story yako ni kama yangu ila mi napewa mpaka na ikinai ila hawa viumbe bhn dah [emoji849]
  9. K

    Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

    Kila mtu na maamuzi yake ila mi niliona bora niuze nkamcheki dalali nkasukuma chombo chap maana m mwenyewe nili anza ingiwa n was was kuhusu iliko patkana ile pikipiki
  10. K

    Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

    Nishanunua pikipiki kwa mtu nkakutana na ishu kama yako kumbe jamaa alisajili ki ujanja ujanja nkaiuza fasta
  11. K

    Waliowahi kufumania wapenzi/wake zao tupeane uzoefu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuba benye Unafikiri atasema
  12. K

    Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

    Mkuu anza kuamin kdogo kidogo Mwanamke utamfaidi ukiwa hauja muoa ukiisha muweka Ndani tu akaanza kuita nyumba yako yake basi umeisha
  13. K

    Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

    Uchumi mkuu maisha ya dar konyo
  14. K

    Ananinyima tendo la ndoa kwa kusingizia analea mtoto

    Kwa mtoto Mashaka asilimia 70 aisee huenda anahofia kumuharbu mwanae
Back
Top Bottom