yahaani kukutana ofisin wanaona haitoshi hadi home du!!Muulize cha maana wanachokifanya kuhusiana na kazi ni nini, kwanza mna mtoto hapo home maana kama yupo free hapo jamaa atakuwa anamega hapo hapo hana gharama za gest wala nini
BBC Swahili jion hii
mtu mmoja amebadili jinsia na kuwa jinsia ambayo haifamiki
kutokana na maelezo yake anadai kabla ya kubadili jinsia alikuwa mwanamme
Lengo kuu la kufanya hivi ni kutoa mwanya kwa watoa huduma kutoa huduma bila kujua jinsia gan that is why hata vyeti vyake kapeleka kesi...
Fomula ya baharia ni hii "Bandari mpya, mke mpya, ishi kama mfalme, lakini utakufa kama panya", Baharia hana haja ya kuwa na nyumba maana nyumba yake ni Meli.
Nimekuwa nikifuatilia siku nyingi kuhusiana na sare za polisi wetu wa maeneo mbalimbali kama magereza trafiki na hata field force, wote kwa ujumla wao japo si wote wamekuwa wakivaa nguo hasa suruali yaani inabana hadi zipu inakenua na leo nimemwona mwingine hadi katika zipu pemben kumechanika na...
Wanaotoa pesa ni wengine ww povu linakutoka huo wote ni wivu tu,mtu anakwenda kumtunza kwa kuwa jamaa anaongea point za maana na hata kichwa kinafunguka unawaza mambo ya maana ndo maana kama unafuatilia kipindi huwezi ona mtu analala kila mtu anachangamka na kuimba
Leseni zote za biashara zonatoka makao makuu yaani wizarani, ndo maana zote zina mwonekano sawa kutokana na Lesen kuwa chanzo cha mapato katika Halmashauri, kila halmashauri inazitaka kwa wingi ikiwemo kinondoni, na vile vile mahitaji yamekuwa makubwa mno kwa kuwa wananchi wameitikia wito
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.