Hongera Trafiki Polisi Ubungo !

Hongera Trafiki Polisi Ubungo !

leo ulipata zali kwa kuwa aliyetakiwa kupita alikuwa nyuma yako, na ninaamin baada ya kupita huyo jamaa wenzio walikaanga mawe
 
Ulivyo wasifia hivyo ni vizuri tu, was was wangu ni wale walio pigwa faini wamepewa stakabadhi ya serikali halali? au minotifcatation tu. tunaweza kuona jamaa leo wamefanya vizuri, kumbe nao ndo walikuwa mavunoni shambani!!!! kuvunjika kwa pakacha nafuu ya.......................!!!

traffic huwa hapewi kitabu cha stakabadhi, wao huoewa noyification book. cha stalabadhi kiko kwa mhasibu wa wilaya husika.

ukienda na notification yako, mhasibu anakukatia risti lkn lazima awasiliane na aliyekupiga faini maana akikukatia risit bila kuhakikisha pesa imepokelewa, CAG atamsokota. kila siku wanakaguliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom