Ilaa kipewa handshake anakaa kimya mnaacha na njaaa unabaki tuachie BABA ukumnaendelaa kuteseka wakati yeye kashakula cake yake serekalini amkaa Sasa huu ujinga wakuandamana bila sababu ya msingi ni ujinga wakuharibu uchimi wa nchi
Ukifatiliaa Nia ya Raila Toka enzi za MOI mpaka uhuru utajuwa Raila shida yake ni kuwa sehemu ya serekali wakati wote HANDSHAKE akisha pata hicho ata wananchi wake anawatelekeza na maandamano yaooo
Raila Ali mchallenge Moi akashinda
Raila Ali mchallebge KIBAKI akashinda akapata katiba
RAila Ali mchallenge uhuru akapata handshake akawa kwenye serekali ya uhuru
SASA Anajaribu Tena kwa Ruto nazani huumoto mwingine utamuunguza muda sio mrefu
Jaribu kuangalia designated survivor
Series moja inazungumzia maisha ya rais wa marekani ndio utajua ikulu wapo hao watu nadhani na hapa kwetu wata kuwepo piaa watu wanaoumiza kichwa rais aseme Nini kwa wakati gani
Huyu jamaa ni raia wa Tanzania?
Kama ni Rais na aliweza kukusanya hizo bilioni za fedha sio wa kuchukulia poa
Wazo lake lingechunguzwa kama lina msaada kwajamii na aelekezwe kufata Sheria na taratibu watu wapate ajira
Kama taifa ukiacha unafki kuna hoja za msingi Sana katika ila inayo nadiwa na chadema Kama taifa tukitaka kupiga hatua na kuwa nufaisha watanzania kwa ujamula bila kuangalia mafanikio ya watu wa chache elimu ya kupima kufaulu mtihani ndio akili imelitwa na wakati.
Sasa elimu yenye soko duniani...
Navyoo fahamu ahadi ya UCHAGUZI sio lazima itekelezeke kwa mwaka mmoja
Inaweza kuwa mchakato wa muda mrefu ila lengo kuuu likiwa nikuhakikisha Kila mtanza napata BIMA YA AFYA nazani LISU amesema na nimemsikia hapa Arusha kwamba Kila MTANZANIA atapata bima kwa gharama nafuu Tena shaba ikiwa Kila...
Yani nipo mtandaoni kama nafatia series ya money hiyest Lecasa de papel
Nikusubiri kuona hatimaa ya lisu tu daah
SIASA za bongo sasa zinafika mahala pake
Nahaya yanaweza kuwa mageni ila ndio tamu za UCHAGUZI hakuna mtu anapata madaraka kuongoza watu kirahisi Hilo ndio ujue na ukikata tamaa ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.