Aisee! Kila la heri katika kusaka mume, mungu atakujalia utapata hitaji lako! Lakini kiuhalisia umri wa mume umtakaye wengi wanakuwaga tayari wanafamilia au may be uwe mke wa pili au mchepuko!
Hakuna binadamu aliekamilika! unauhakika huko utakoenda utakutana na mtu parfect zaidi ya huyo? Kwanini kama unampenda usimwambie anapokosea na kusamehe kuliko kuyabeba na kufikiria kumuacha kimya kimya? Utaacha wangapi mkuu?
Ni vizuri ukachagua moja mapenzi au shule! Maana mshika mawili moja humponyoka na ww mapenzi yanakuponyoka ni bora ukomae na shule na kama hausomi fanya kazi upate ngawira!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.