Kabisa ..kumbe he wants more hashibiAma ukute mke anaona anamridhisha mume wake
huyo ni mkewe, sio ngono ni tendo la ndoa tukufuUnawaza sana ngono! Badilika! anza kuwaza vitu vya msingi kama familia,jinsi ya kuimarisha uchumi wako na kumtukuza mwenyezi mungu itakusaidia!
Hata weza nipa zaidi ya mara tatu...maana nimfanyakazi ana piga mzigo wa kutosha job akirudi pia mi namdaka...hivo hadi mwenyewe namhurumia pia mi sipendi uzinzi...nafsi yangu inanisuta kusalit ndoa yanguBaada ya kudiscuss akakupa solution ipi?
Mkuu sikuwahi kuwa hivi...ndo maana nahisi umri...maaana imeanza baada ya kuturn 30
Bora umenisemea...maana nafanya sana kazi tena zenye stress kibao ila bado hazisaidiahuyo ni mkewe, sio ngono ni tendo la ndoa tukufu
Hahaha..tulio kwenye ndoa hatufanyi ngono ila tuna ibada ambayo malaika hushuka kushuhudia utukufu wa ndoa tukiwa kazini
ha ha haa...mwambie kwenye ndoa tunakula sakramenti takatifuHahaha..tulio kwenye ndoa hatufanyi ngono ila tuna ibada ambayo malaika hushuka kushuhudia utukufu wa ndoa tukiwa kazini
Umenigusa sana mkuu...na experience same situation kama ulopitia...kuna mda unapewa tu lakini yeye hana hisia.Huwa najisifu sana huyu mama hapa ndani ni kisu aseeUmeanza lini kumtamaani sana mkeo? anaonekana yuko bomba sana, hebu tupia kapicha kake hapa ila mkate uso!!!
Hiyo hali ni kipindi cha mpito, kadri unavyofanya ndivyo inavyozidi kuchanganya, jaribu kuicontrol hali yako ili utunze afya yako,too much ngono huharibu afya. ishanitokea sana hiyo hadi namuonea huruma wife, kwa sababu siku wewe una nyege sana yeye wala hana hamu na ukimkaza unamuumiza maana hata ukimchea ili aloane yeye wala hakupati na ukimkaza unamuachia michubuko...
AsanteHiyo hali ipo kwenye akili yako. Acha mawazo ya kutoridhika anza kuridhika b4 tendo.
Hali za wabongo wengi ni ngumu ndo maana mnafikiri kila mtu ana matatizo ya kiuchumi.Mkuu nimebarikiwa hapa duniani. Mi nimeoa kwa ndoa takatifu kanisani....na namtukuza Mungu na ndo maana niko mbali na uzinziUnawaza sana ngono! Badilika! anza kuwaza vitu vya msingi kama familia,jinsi ya kuimarisha uchumi wako na kumtukuza mwenyezi mungu itakusaidia!
Huyo mkeo mshikilie huyo huyo usimwache mwanamke kama huyo ni nadra sana kumpata namaanisha anahamasisha ujisikie kuendelea na tendo usijidanganye kutafuta mchepuko utakuja kujuta milele endelea na huyo huyo ulienae.Naomba ufafanuzi toka kwa watu wazima wenzangu..
Nina mke ananipa haki yangu ya ndoa mara tatu kwa wiki...lakini nashangaa pamoja na kupewa yote lately siridhiki na mwanamke mmoja maana nakuwa namtaka sana kiasi kwamba naona wakati mwingine kama Inakuwa too much...
Je suala hili linahusiana na umri maana Kabla niliweza ridhika tu na hizo mara tatu
Sasa hivi nina moto sana na haya mambo in short mtu mmoja hanitoshi..Tatizo ni umri au nina matitizo binafsi..
[HASHTAG]#Ushauri[/HASHTAG]