Mimba itakua kikwazo

Mimba itakua kikwazo

So hiyo ndio sababu ya kumuacha? Sema ukweli tu hukumpenda na ulikuwa unatafuta sababu mkuu!
 
Amekutania tuu...
Don't take it to personal..

Cc: mahondaw
mh hata matendo yake tu,anapenda kuwa na mimi kwenye raha ila shida nahisi atanikimbia,sometimes kama tunatembea naweza kumwambia naomba nishikie kitu flani mara moja,anakua hataki anakunja uso, au hata tumsaada tudogo dogo (sio hela) labda akiwa anatoka sehemu nkimwagiza apitie na kitu fulani anakataa,the little things he does ndo nanotice
 
Kawaida sana mambo hayo mbona...

Cc: mahondaw
 
Tupa kule upesi sana

Urudi kwa wazazi wao.ndio waliokumimba?

Mpige kwenzi kwa niaba yangu....
 
hapana mkuu,kuna mengine madogo dogo siajayasema tu

Hakuna binadamu aliekamilika! unauhakika huko utakoenda utakutana na mtu parfect zaidi ya huyo? Kwanini kama unampenda usimwambie anapokosea na kusamehe kuliko kuyabeba na kufikiria kumuacha kimya kimya? Utaacha wangapi mkuu?
 
Mpenzi wangu kaniambia nkishika mimba atanirudisha home mana ye hawezi ule usumbufu wa mama mjamzito. Nimeishiwa pozi hapa nataka nimuache kimya kimya,si kwa unyanyapaa huo.

NB: Hakuniambia direct ila katika kupiga story kuhusu mambo wanayofanya wajawazito ndo akasema hivyo "kwa kweli nawe ukileta hayo mambo ya ajabu nakurudisha tu kwenu ukijifungua ndo nakuchukua"

Kwahiyo raha tule wote shida ukawape wazazi wangu, heri niwe na mwanaume malaya lakini akifika home ananijali na anajua wajibu wake kama baba.

Sometimes the little things we do matter a lot, sio hela tu au kutiana tu.

Just saying!

Kutiana neno zito sana hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom