Wamemwachia baada wazee wa kigoma kusema waliomteka mtoto wetu mmemteka ila kitakacho wakuta tusilaumiane .na unajua kigoma wanapenda mambo ya ndumba uchawi mwingi
Hapo ni kanisa LA komakundi Stefano moshi walikuwa wanasali na bibi yangu ruwaichi mmbando kanisa LA ashira kanisa LA kwanza marangu kabla ya kugawanyika usharika was mamba na kanisa LA kwanza kulijenga mamba n kotela lile dogo LA mawe bb yangu alizaliwa 1893 na kufariki 2016 akiwa na miaka 123...
Mkuu mm in mkristo ila hata makanisa ya kilokole ni kero we fikiria wanavyopiga mziki usiku kucha huoni kwamba ni kero. Mfano hapa napokaa kuna kanisa LA kilokole wanapiga mziki na maombi mpaka wanakesha wamekuwa kero
Ni sahihi mkuu
Ni sahihi mkuu m mwenyewe n mchaga sema uislamu naujua sababu nimejichanganya nao kitambo sana ndo mana nawakubali sana hata kwenye cm yangu nimeweka nyimbo za kaswida na kwaya. Ila ukienda kule kwetu uchagani huwez kukuta uislamu hata misikiti..makanisa n mengi sana kila...
Mku wa marangu mbona mm nilimzimia mhudumu pale kwa hosea mpaka leo n mke wangu na nimezaa nae watoto wa tatu. N maisha tu ndo yanawafanya kuwa barmed ila marangu ni pazuri sana has a mademu wa kuja wakifika marangu nawaona kama wapo uzunguni hawatamani kurudi hata kwao mkuu
Ss Africa tuna nn zaidi ya siasa zetu za maji taka na uchu wa madaraka +ubunifu zero akili za ovyo kutaka kumtawala maskini hata kidogo alicho nacho unataka kumnyang'anya
Ugali unadumaza akili ndo mana Africa hatunaga akili. Je akili ni nn? ukitoa kile ulichofundishwa kinachobaki kichwani mwako ndo akili. Ndo mana hatuna ubunifu kama wazungu kila kitu tunasubiri wazungu wabuni kisha na ss tutumie. Mfano kadhaa ni cm, gari, meli, ndege, na vitu vngine kibao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.