HAAAAAAAA MKUU HABARI YA MKUYUNI? TAWA, MATOMBO, BWAKIRA JUU, MVUHA, KISAKI.....KINOLE......KWA WALUGULU
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Hapa mkuu nimetoka tu maeneo hivi ndo nikasema ngoja niwaulize greater thinker nini kinaendelea hadi sasa maana maombi kwa kawaida huanza kufanyi wiki chache tu toka kidato cha sita wahitu na huwa haihusiani na matokeo ya kidato cha sita.
Habari ndugu watanzania...! Naomba kuuliza hivi bodi ya mikopo kwa wanafunzi kidato cha 6 mwaka huu yameshaanza???
Tupo vijijini hatui nini kinaendelea helb. Asante
Habari wadau wa Elimu Tanzania? Naomba kuuliza maombi ya mkopo kwa wanafunzi elimu ya juu yameshafunguliwa na HELB kwa mwaka huu 2017?
Asante, nawasilisha.
asanteni sanaaaaaaaaa ndugu kwa michango na pole zenu pia pole kwa wenzangu waliopatwa na mikasa mbali mbali. Huenda watu hawajawai kutana na mnyama kama huyu ikumbukwe siku hiyo tulikuwa tumelala japo sio usingizi fofofo na hao simba walivamia yaan
ambush hivyo hakuna aliyejiandaa au kutaka...
HESHIMA KWENU WANAJUKWAA.
Mnamo mwaka 2000 mwezi February tukiwa shamba kwa kilimo cha mpunga katika wilaya ya Kilombero(Ifakara) maeneo ya Mchombe mashambani sehemu inayoitwa Simbagungile tulivamiwa na simba majira ya saa 6 kasoro.
Nyumba ilikuwa ya chini yaani imejengwa kwa miti tu na...
Habari Tanzania.......
Leo ni kilele cha maadhimisho ya hayati waziri mkuu Edward Moringe Sokoine hapa chuoni SUA, ambapo maadhisho hayo yalianza mnamo tarehe 11 na leo ndo kilele cha siku ya kumbukumbu ya kifo chake hayati Sokoine.
Na mgeni rasmi ni waziri wa kilimo mh. Charles Tizeba ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.