Recent content by Kibiki jr

  1. Kibiki jr

    Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

    Hapo nikweli Hakatafute simi nyingine Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. Kibiki jr

    Hivi wanawake wanaoandika hovyo wanajielewa kweli?

    Mnunulie yebo yebo kabisa ili zisikatike pa na kijora usisahau kiswaswadu ili asije sema anasimu pia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kibiki jr

    ni definition gani ambayo huwezi kuisahau?

    Team Chemistry tunaitumia kote kote... kwenye mpira wa miguu na wwakikapu na kote kote hata kwenye jamiii... we talk abt Team Chemistry ... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kibiki jr

    Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

    Duuuh!Bora nibaki kuangalia BBC news , wao kwa wao wanapingana , sasa je sisi watazamaji Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Kibiki jr

    Huyu ni mdudu Tandu? ana madhara gani?

    Tandu huyo mdudu ni hatari anauwa mpaka panya wale wadogo Anasumu kali Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Kibiki jr

    Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    sio mbaya kumpa mke wa m2 zawadi. napia inaonesha kuwa una wajari yeye pamoja na mume we .. sio mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Kibiki jr

    Utapeli wa wanawake..

    hahahaha #Hatari sana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Kibiki jr

    Tukubali tukatae, CCM ni bonge la Chama

    [emoji4][emoji4][emoji4] bado Watu awamini kuwa ccm itabakuwa ccm tu .. utaenda utaludi ccm iko pale pale Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Kibiki jr

    Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

    ipo kama watasp Plus or Gb Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Kibiki jr

    Namba zinazotumia GB WhatsApp na Yo WhatsApp zafungiwa kutumia Whatsapp

    nikweli tutaumia sana watumiawatsap Gb na Plus ..aise .ziko vizuri kimatumizi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Kibiki jr

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    umeme wanakata sana , upande huu wa mbezi juu .Goba road sijui nikwann ? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kibiki jr

    Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

    Daaah... nakumbuka nilikuwa nikinunua kachori nakimbia kwenda kujificha kwenye Korongo. ili wenzangu wasiniombe.. siku moja nilikimbilia kule kumbe sikujua kulikuwa na madondola ya linipiga sindano za uso , Aise niliumuka sasa kama maandazi yaliyowekwa Amira Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kibiki jr

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hongereni sana , Tanesco kwa kuboresha miundo mbinu ya umeme ikiwa pamoja na kutupatia huduma nzuri ..ila naomba kuuliza kuhusu ukatika ji wa umeme kwa mwezi huu wa March je? bado mnafanya matengenezo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom