Recent content by Kiberenge

  1. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Lodge za Mtwara Mjini

    Kuna lodge inaitwa Eden ipo stand mpya mtwara ni nzuri sana ila fanya booking mapema... Nicheki Dm nikupe namba zao
  2. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

    Aliyeandika hii post mamba24 anakusalimia
  3. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Nauza hii ShowCase

    Showcase ilo sokoni hii kwa wale wauza simu na bidhaa zake inawafaa zaidi au hata kama hufanyi hiyo biashara ila unaona inakufaa pia unakaribishwa.... Bei ni 235,000 Ipo Sinza madukani Mawasiliano 0718905208
  4. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Simu zipi hizo?
  5. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani hospital gani nzuri kwa watoto hapa dar?

    Gharama za kumona DR Koya bado ni bure?
  6. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

    Kama huna cha kuandika uwe unauchuna... Unajichoresha dogo
  7. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupokea/ku-withdraw Pesa Kutoka Upwork Au Fiverr (Beginners Freelancing Guide)

    Wise ndio mkombozi wa hii kitu.. Join hapa nikupe maelezo You’ve been invited to Wise – Join and get a discount.
  8. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania UpWork Freelancing: Kama wewe ni kijana ambae huna kazi pita hapa

    Mkuu ile huduma ya exchange ya paypal bado unayo? Nina fund paypal i need cash
  9. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Wallpaper ya Simu yako ikoje?

    Haya shusha wallpapers zako kali hapa, mimi naanza na hizi....
  10. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Cha kwanza ni creativity yako wewe mwenyewe Mtoa huduma maana kuna wengine skrill ziko below sana na pili ni jinsi ya kubargain malipo na mteja, hapa ndio pakubwa wanapofeli...
  11. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania NFT's project

    Wazee wa commission hadi huku mpo
  12. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

    Pole sana Madam Sophy bila shaka wewe ni mwanamke mwelevu sana hiyo hali unayoipitia sasa ni ya mpito tu InshaAllah baada ya muda utamsahau na ku move On.
  13. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Hili la Okrah na Dejan, Juma Ulifanyie Kazi

    Mdhungu anajua huyoooo [emoji23][emoji23]
  14. Kiberenge

    JamiiForums Tanzania Msaada wazee wa mikeka: kulink VISA card na online betting companies

    Mie inakubali kuweka na kutoa
Back
Top Bottom