Nauguliwa na mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitatu, anatapika na kuharisha kila akipewa chakula tangu juzi. Nilimpeleka jana kwa dr Koya pale Lumumba wakampa dawa lakini sioni nafuu yoyote na dawa amemaliza!
mkuu mbona huyu dr koya namwamnia sana ni bingwa kwa wtt mi cjawai mpeleka mtt wangu sehemu ingine zaidi yake na mara moja niliwahi kumpeleka kwa dr hameer kkoo hapa fire nae ni mzuri jaribu hapo pia