Mchungaji ni yule anaye chunga kondoo wake wasipotee sio yule sio yule akiona jambo kwenye magazeti au kwenye mitandao ya kijamii ndio yanakua mahubiri yake.inshu ni madawa ya kulevya sio vyeti vya MTU .tuache kupotosha.
Sent from my itel_it1502 using JamiiForums mobile app
Waislam ni wengi wamesoma na kama hauamin umba mdahalo na huyo shekhe khalifa kama hauto kaa na kusoma quruan hiyo ni elimu pana sana ni sawa na mapro wenu acha kuwadhalau waislam lazma tudai haki zetu bila kuogopa MTU
Nilijua wanachadema wangeponda na niljua wana ccm wangeponda hotoba nzuri kama hii.ila wangeambiwa tumebadilishia gia angani wangeshangilia. Pia wangeambiwa tumebadilishia gia ya ukuta baharini wangeshangilia.
Kucheza kwa muda mrefu sio kigezo cha ubora wako kwamfano beckam amecheza kwa kipindi kirefu tuseme alimzidi zizu. Acheni masiara Gaucho kiumbe kingine kwenye mambo ya mpira
Zito hawezi kurud chadema chama ambacho hakina dira na mikakati misingi ya chama imetupwa kwenye mafuriko .Act wazalendo ndio chama kimebaki na misingi yake na Dira ya chama inajulikana .mipasho, uzushi upambe sio siasa za zito kabwe.kamwe haiwezekani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.