Sumaye arudisha fomu ya kuwania Uenyekiti kanda ya Pwani

Safu yote ni ccm tupu, sasa hapo kuna mbinu gani sasa kama mnajiita wana mabadiliko? CCM B katika ubora wao
Katiba ya Tanzania inadokeza kwamba mtu yeyote anakoma kuwa mwanachama wa chama cha siasa , pamoja na mambo mengine baada ya kukabidhiwa kadi ya chama kingine .
 
Tunakopi ya ccm ya kuchukuliana from mbowe ajiandae wapenda madaraka wanaanza kutengeneza mazingira.
 
Kwa taarifa yako hata walio asisi CHADEMA walitoka CCM. Hakuna jambo la ajabu hapo. Mpinzani mzuri ni yule anaye mfahamu vizuri adui yake. Sumaye anaifahamu vizuri CCM ndio maana wana hofu.
Aisee ukiwa mkereketwa wa uchama, haki ya mungu UWEZO WAKO WA KUFIKIRI UNAPUNGUA.
 
Nawapongeza wote .
Bila CCM kuondoka madarakani hakuna taifa la tanzania kwa miaka 20 ijayo.
CCM wanatugawa kidini.
CCM wanatugawa kikanda.
CCM wanatugawa kikabila.
CCM wanatugawa kichama kwa kuwaona wasio wanaCCM hawana hata haki ya kupata ajira za kitaalam.
CCM inatugawa kiumri,vijana na wazee.

CCM ni jananga kubwa kwa taifa letu.
Tunataka utawala utakaotuunganisha watanzania wote.
Leo hii vijana wanachuki za ajabu dhidi ya watu wasiokua na itikadi zinazofanana na za kwao.

Leo hii siasa za kupingana na kwa hoja hazipo tena zaidi ya kupingana kwa ishu binafsi. CCM imesababisha watanzania hawaangaliani tena kwa uwezo na hoja walizonazo lakini wanahukumiana kwa kuangalia dini zao,kabila zao,na kanda zao.

Ni lazima mfumo wa Utawala wa nchi uwe wa kitaifa .
Sisi wote ni watanzania na kila mtu ana haki ya kuongoza na kueleza maono yale juu ya taifa hili.
Huu mfumo wa kikoloni uliorithiwa na CCM ndio unaosababisaha chuki na uongozi mbovu kutokana na kuwa na malengo ya kuwatawala wananchi tu bila hata kujua nini malengo na maono ya anayeteuliwa na Mkuu wa nchi kama enzi za Magavana waliokua wanateuliwa na Malkia toka Uingereza.

Hatumwangalii Sumaye kama mtu aliyetoka CCM akahamia Chadema.
Tunamwangalia kama mtanzania.
Kutoka CCM hakumfanyi asiwe na maono kwa taifa lake.
Hata Nyerere na wengi waliotawala mwanzoni walitumikia serikali dhalimu ya Mkoloni.
Nyerere alikua wazirimkuu wa serikali iliyowatesa na kuwafanya watanganyila kuwa watumwa kwenye nchi yao lakini aliamua kujitoa na kupigania utaratibu mpya uliokuwa unaoongozwa na waafrika wenzao.
Kutumikia serikali ya Kikoloni hakukuweza kumwondolewa sifa ya kuongoza mapambano ya kudai uhuru.

Mfumo wa vyama vingi ni fursa ya wanasiasa kujiunga na vyama vyenye sera nzuri na zinazotekelezeka alimradi mtu havunji sheria za nchi.

Sio Sumaye tu bali hata wengine wanaochukizwa na namna CCM inavyowagawa watanzania anapaswa ahame na kujiunga na vyama vya upinzani kwa nia ya kuongeza na kukuza demokrasia.
 
Ni aina ya uandishi uliegemea upande fulani.
Hadi hapo unakosa uhalisia wa ulichokiandika......

Haya bana,..... Na hongera kwa kupata kiongozi mpya, aliyewahi kuwa hata waziri mkuu, leo hii anakuwa mw/kiti wa Kanda....
Aisee..... Hii inahitaji very low IQ kiweza kuelewa na kuchekelea..........
Tuamke vijana, tupunguze uchama kwenye kufikilia mambo, hapo ndipo tunaweza kuona uozo wa wanasiasa,tukitanguliza uchama kila kitu tutaitikia tu ndiyooooooooooo, kama wabunge wa ......... Kule bungeni.... Shauri yetu.
 
Mlivyomloga mlidhani atakufa ? Kijana Usicheze na Mungu .
Mheshimiwa tafadhali bana!
Labda waliomloga ndio hawa wanaochukua form leo hii na ndio msingi wa swali langu kwani kumbukimbu zinaonesha ni kama vile alikuwa mwenyekiti wa kanda hii(kama sijachanganya)
 
Du kwel mwenye pesa sio mwenzio. Na aliyekuwa nacho huoengezewa...Kwa nini wengine hawajachukuliwa form?
 
Ni aina ya uandishi uliegemea upande fulani.
Hadi hapo unakosa uhalisia wa ulichokiandika......

Haya bana,..... Na hongera kwa kupata kiongozi mpya, aliyewahi kuwa hata waziri mkuu, leo hii anakuwa mw/kiti wa Kanda....
Aisee..... Hii inahitaji very low IQ kiweza kuelewa na kuchekelea..........
Tuamke vijana, tupunguze uchama kwenye kufikilia mambo, hapo ndipo tunaweza kuona uozo wa wanasiasa,tukitanguliza uchama kila kitu tutaitikia tu ndiyooooooooooo, kama wabunge wa ......... Kule bungeni.... Shauri yetu.

Wewe ndio hata IQ huna.

Yesu alitoka mbinguni akaja duniani kuwa mpiga kelele mitaani mpaka akawambwa msalabani.
Nani mkuu kuliko Yesu.

Profesa Jakaya Kikwete alikua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini juzi aliteuliwa kuwa Counceller wa Chuo kikuu cha Dar es salaam. Hapo kosa liko wapi?

Hivi ni kosa kwa binadamu kuwatumikia wananchi kwa maisha yake yote.

Asha Rose Migiro alikua Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa lakini juzi aliteuliwa kuwa balozi wa uingereza. Yote ni majukumu ya kuwatumikia wanadamu.

Kwangu mimi naona kama vile Sumaye alitumikia serikali ya Kikoloni.
Karne hii ni karne ya kupigania uhuru wa kweli sio uhuru usio na usawa wala utu. Ni karne ya kupigania utu wa mwanadam. Ni karne ya kupigania usawa na kuondoa kila aina ya unyama dhidi ya binadam wengine kwa kisingizio cha kushika dola. Chama kimoja kushinda uchaguzi sio sababu ya kutawala kimabavu na kukiuka haki za wengine.
Haya wale waliotumwa na Mungu hawatachoka kuyapigania na kuyalaani hata kwa kugombea ujumbe wa nyumba kumi.
Vyeo vya watu na heshima za kibinadamu zimewatesa na kuwaumiza wengine kisa hawataki kujishusha na kutetea wengine.
 
Kwa maoni yangu, siasa haiko hivyo....
Funguka akili utajuwa nini nyuma ya Pazia. Ila ukikalia uchamchama sana hauwezi kuona.
Najuwa weye ni mfia chama, kwahiyo lazima useme ndiyooooooooooo.... Kwakuwa nyie wanasiasa mmeshakaririshwa kuwa mkubwa hakosei.
Kwahiyo kwa hili kwako ni kawaida kwa kuwa iko katika chama chako.....
Hongera kwa kupata jembe litakalopigania demokrasia kama ile ya kuwapeleka pilisi pale mwembe chai wakavunje watu miguu.. Ile ndio demokrasia mabayo nyie mnaihitaji na huyo msafi saaana,,
Haya bana.....
 
View attachment 366263

Waziri mkuu mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu Frederick Sumaye amerudisha fomu ya kuwania nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA kanda ya Pwani, Sumaye ana wapinzani wawili ambao ni John Gugunita ambaye alihamia CHADEMA kutoka CCM mwaka jana na Gango Kidera.

Nafasi zingine za uongozi ambazo zipo wazi ni ile ya makamu mwenyekiti ambapo watu watatu wamejitokeza kugombea nafasi hiyo akiwemo Saed Kubenea, nafasi ya mwekahazina wagombea watatu wamejitokeza akiwemo aliyekuwa naibu waziri wa kazi na ajira wa serikali ya awamu ya nne, Makongoro Mahanga.
Viva Sumaye , viva Kubenea!
 
Uchaguz wa mwenyekit hanang alipokuwa ccm alishindwa .....ugombeaji urais alikatwa....kasepa leo anagombea uenyekit wa cdm pwan najiuliza akiukosa atasepea kwa hashimu rungwe?????
 
Back
Top Bottom