Habari za Muda huu wana JF, Upinzani imara ni chachu ya Maendeleo kwa nchi yoyote inayoendesha kwa Mfumo wa vyama vingi. CHADEMA ndio chama ambacho kilionyesha dhahiri wamejipanga kutukomboa lakini mwenendo wa chama hiki unasuasua sana hasa baada ya watu wenye ushawishi mkubwa chamani akiwemo Zitto Kabwe kuondolewa chamani na kuingizwa watu ambao kila siku tulikuwa tukiimba ni MAFISADI. Hivyo basi nna maoni Mawili kama ifuatavyo
1. Kwa kuwa Zitto Kabwe na CHADEMA ni wazi kwamba tushapoteza dira na mtaani umaarufu wetu unazidi kushuka ni vyema zitto arudi CHADEMA Tuendeleze harakati .
2. Lakini kabla namba 1 halijatekelezwa ili kurudisha imani kwa wanachama CHADEMA na wananchi ni vyema Sumaye na Lowassa wakajibu kiundani kashafa zinawakabili sio tu kusema mwenye ushahidi apeleke mahamani hiyo haitoshi.
Mwana JF una maoni gani mengine tuweze kuboresha CHADEMA na Upinzani Tanzania?