Zitto: CCM imechanganyikiwa

Zitto: CCM imechanganyikiwa

Nimetambua kwanini Afande sele hawaelewi viongozi wake wa ACT
 
Sasa kati ya Zito na Ccm nani kachanganyikiwa haswa?mi naona zito alishachanganyikiwa tangu alipotoka cdm
 
Nilijua wanachadema wangeponda na niljua wana ccm wangeponda hotoba nzuri kama hii.ila wangeambiwa tumebadilishia gia angani wangeshangilia. Pia wangeambiwa tumebadilishia gia ya ukuta baharini wangeshangilia.
 
Zitto ambaye amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15,
Kwa zaidi ya miaka 15?... Zitto unatumia kalenda gani... Ubunge umeanza 2005... Mpaka 2010... 2010 mpaka 2015.... Uchaguzi umefanyika 2015 October... Sasa hivi 2016 sasa hiyo zaidi ya 15 inatoka wapi.... Lengo kumdanganya mgeni wako kutoka Kenya
 
Huyu ni nyonga au ndege hili swali bado hajajibu.
Huyu ni nyonga au ndege hili swali bado hajajibu.
Sielewi anaongea nini.Pumba tu. Maelezo yake hayana msingi wa kuutegemea. Ni blahblah tu. Wanasiasa wa msimu
, wanaotumia siasa kupata ugali. Tanzania hakuna vyama vya upinzani. Ni fiction tu.
 
ACT hawaeleweki! Wako upande upi!! Wapinzani waungane kuwe na chama 1 kikubwa sana cha upinzani! Ndio dawa pekee...weka pembeni wale vinyonga wote kina Dovutwa na Cheyo ameshakuwa dalali sikuhizi
 
Kwenye kubinya Demokrasia ameshindwa kumtaja JPM waziwazi badala yake anamdandia Kabila!!!!
 
Tatizo ZZK haeleweki ni moto au baridi. He can not be trusted. Kwa hio kila anachokisema inabidi tu kipuuzwe, hakuna namna.

Utasemaje ccm wamechanganyikiwa wakati mambo wanayopanga yanafanikiwa. Walizima bunge live, mikutano ya siasa stop, vyombo vya habari vipo controlled, mitandao ya kijamii sasa watu wanashtakiwa, upinzani sasa unasambaratishwa kwa nguvu(cuf) etc...

Mi naona ACT wamechanganyikiwa zaidi
 
Wadau,hiyo ni heading ya gazeti la tz daima..ila sijajua kiundani llengo la zkk kusema hayo..tunajua recently amekuwa akitoa matamshi ambayo kidogo yanashtua ikiwemo lile la kuwaona walimu kama watu wenye low perfomance wanaotafuta pa kutokea..Back to the point,mwenye undani wa taarifa hii atujuze

Source tz daima
 
Zitto anatafuta umaarufu kwa njia ambayo kwakweli mimi naona anabugi,yaani amechelewa sana.lakini namtakia kila lakheri katika mikakati yake hiyo ya kusaka wafuasi.
 
Zitto ni kigeugeu sana toka atoke kwenye chama makini CHADEMA ni wazi kwamba amekosa mwelekeo. Mara amsifie kwamba ndiye raisi Tz ilikua inamhitaji, mara asingizie bei za ndege, mara amtukane na akimtukana mkulu hachukuliwi hatua yeyote, ila atukane lissu sasa, mh atafatwa kwa magari tokea singida mpaka dar kuja kuhojiwa. Ni wazi zitto anatumiwa na CCM kwahiyo uyu jamaa ni wa kupuuzwa tu.
 
Hujaacha kusoma magazeti ya kufungia vitumbua?
 
ACT walimpa ilani yao ndio anatekeleza.
 
Zitto ni kigeugeu sana toka atoke kwenye chama makini CHADEMA ni wazi kwamba amekosa mwelekeo. Mara amsifie kwamba ndiye raisi Tz ilikua inamhitaji, mara asingizie bei za ndege, mara amtukane na akimtukana mkulu hachukuliwi hatua yeyote, ila atukane lissu sasa, mh atafatwa kwa magari tokea singida mpaka dar kuja kuhojiwa. Ni wazi zitto anatumiwa na CCM kwahiyo uyu jamaa ni wa kupuuzwa tu.
Afande Sele amesema viongozi wa ACT ni "Popo" si wanyama si ndege.Yaani Ni wanafiki balaa.
 
Zitto anatafuta umaarufu kwa njia ambayo kwakweli mimi naona anabugi,yaani amechelewa sana.lakini namtakia kila lakheri katika mikakati yake hiyo ya kusaka wafuasi.
Siyo umaarufu hiyo ndiyo kazi yake lazima aipende.
 
Back
Top Bottom