Recent content by kibanga 3

  1. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Iphone 6s for sale!! New

    Bei gn?
  2. kibanga 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dua zako ni nzuri sana
  3. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Jinsi jasho la Fred Mpendazoe lilivyopotea mithili ya njiwa wa uchawi

    Jamani dada faiza fox amepotelea wapi?
  4. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Wabunge tafakarini: Je, bado tunahitaji miezi 3 kujadili bajeti ya miezi 12?

    Hili ndilo jambo natamani rais wangu alifanyie kazi kupunguza hiyo miezi na mishahara pia warudi kulima kazi ya kutumikia wananchi ibaki kuwa wito tu
  5. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo asimamishwa masomo UDSM hadi kesi ya jinai inayomkabili itakapomalizika

    Afungue kesi kwa kunyimwa haki yake ya kupata elimu
  6. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa mnada wa mitambo mgodi wa Buzwagi: Serikali imepanic?

    Ndio injini ya nchi tunaowategemea watupeleke kwenye nchi ya asali na maziwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. kibanga 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Real madrid

    Totenham mwenyewe kashamgonga madrid na baselona pia ubingwa ni kwa uingereza hispania msimu hawana timu ya kuchukua ubingwa
  8. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Kuna vyombo vya habari vimeacha kumuita muheshimiwa mmoja 'Dr.'

    Ndio maana namkubali nyerere tu huo upuuzi hakuutaka ndio maana alibakia kuitwa mwalimu tu
  9. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

    Achana na huyo mpuuzi mimi nauza mayai ya curoiler trey 1=18000/=tsh na oda zimenizidia huyo hajui kitu mwanafunzi tu huyo
  10. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Mch. Francis Mbalase: Kama mnajua kuombewa mjue pia na kutubu

    Wanasema damu ya mtu mwenye haki huwa inalia mbele za Mungu nahisi kilio hicho Mungu amekisikia ndio maana yanatokea yasiyo eleweka
  11. kibanga 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ondoa pattern, password ulizozisahau pasipo kuflash simu

    Mautundu ngoja nijaribu
  12. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania Maswali 12 kwa kigogo asiyejulikana ‘dili’ Airtel

    Ni ajabu kwa taifa letu haiwezekani watu wapige ela alafu wasijulikane hii tabia ya kutuchanganya kwa neno watu wasiojulikana inazidi kukomaa naomba rais aikemee kabisa wasituletee blablaaa
  13. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti atishia kufuta leseni za migodi isiyolipa kodi Manyara

    Umeshawahi kuchimba? Au unafikiri kuchimba ni kufanya biashara?
  14. kibanga 3

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti atishia kufuta leseni za migodi isiyolipa kodi Manyara

    Naona dalili za watanzania kunyanganywa maeneo yao kwa kisingizio cha kodi
Back
Top Bottom