Jinsi jasho la Fred Mpendazoe lilivyopotea mithili ya njiwa wa uchawi

Just remember Familia yake ipo Canada, at arudi huko na sivyo unavyotegemea.
Tena safari hii atarudi na mafao ya uzeeni,kama mtumishi wa umma mstaafu.

Zaidi tu nikupashe,mpaka sasa anajiwekea akiba ya kudumu...chochote kitakachompata haitaji hata mchango wa serikali.

Mwisho bado ana jenga historia iliyo tukika,kusimamia anachokiamini.

Mtakufa na vijiba vya roho......yeye atapumzika kwa kusema vita nimevipoga ,mwendo nimeumaliza.
Shemejiiiii
 
Kaka Fred alikata tamaa baada ya kuona vijana wadogo wanapewa ukuu wa mikoa wakati yeye yuko bench
 
Attachments

  • download (1).jpeg
    download (1).jpeg
    11.5 KB · Views: 22
Hakuna asiyezijua juhudi binafsi za ndugu Mpendazoe za kuifagilia awamu ya 5 bila vielelezo vyovyote , alijitolea kusifia chochote hata kama hakina tija na kuponda sana Wapinzani ( Chadema ) waliomsitiri kwa kipindi kirefu tena bila faida yoyote., maandiko yake hapa jf ni ushahidi .

Lakini ghafla bin vuu mtu huyu ametoweka na maandishi yake yamepeperukia kusikojulikana , baadhi ya watu wamechukulia hali hiyo kama ishara ya kukata tamaa baada ya kuona uteuzi umeota mbawa , Bali kinachosumbua vichwa vya wengi ni namna ambavyo aliowategemea walivyompotezea kirahisi kuliko alivyojiapiza .

Hakika laana ya usaliti si mchezo !
Nafikiri anaefuatia ni Mbowe , tusubiri tuone, Zitto na Mbowe nani aliwasaliti watanzania
 
Alitangulizwa CCJ na Nape.

Makamba akatuma vibaka wakamkaba Kariakoo Yule Mwenyekiti wa Muda wa CCJ alikuwa anatembea Na orodha ya vigogo wa CCM wanaotarajiwa kuhama akiwemo Hayati Mzee Sitta Na Mwakyembe, Mpendazoe aliruka bila ya kuagana Na nyonga

Mpendazoe Na Nyalandu wanafanana namna walivyopotea kwenye Siasa
 
Hakuna asiyezijua juhudi binafsi za ndugu Mpendazoe za kuifagilia awamu ya 5 bila vielelezo vyovyote , alijitolea kusifia chochote hata kama hakina tija na kuponda sana Wapinzani ( Chadema ) waliomsitiri kwa kipindi kirefu tena bila faida yoyote., maandiko yake hapa jf ni ushahidi .

Lakini ghafla bin vuu mtu huyu ametoweka na maandishi yake yamepeperukia kusikojulikana , baadhi ya watu wamechukulia hali hiyo kama ishara ya kukata tamaa baada ya kuona uteuzi umeota mbawa , Bali kinachosumbua vichwa vya wengi ni namna ambavyo aliowategemea walivyompotezea kirahisi kuliko alivyojiapiza .

Hakika laana ya usaliti si mchezo !
Ng'ombe aliyekatwa mkia hana nafasi kwa Magufuli.
 
Ngo'mbe aso mkia
 
Sijui hata watoto wake wanamuweka kwenye kundi gani,yaani sasa kamwachia nafasi hiyo Murro na Mussiba
 
Back
Top Bottom