Recent content by Kibagata

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yawateua 8 kuwa Wabunge wa Viti Maalum CUF

    Lipumba, Ndugai, na ww mzee wa Tume ya Uchaguzi Mungu anawaona, iko siku mtajibu mbele za Mungu kwa jinsi mlivyoitikia kwa speed ya ajabu kutekeleza hili jambo. naona your mission is going to be achieved lkn kuna cha kulipia huko mbele za haki kwa macho ya kibinadamu huwezi amini hili ila kiroho...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    MBONA MINENO MIKALI HIVI,KULIKONI!!! AU UKOLOMIJE UMEKUINGIA
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mbunge Elibariki Kingu kwa Wabunge CCM kuhusu fao la kujitoa

    anatafuta uteuzi ajiandae kutumbuliwa pia
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

    muuaji kajitaja kule ni waziri wa serikali ya Magufuri, ndugu Hamis KIngwangala, kwa hiyo kama ni kutumbua majipu muanze na hamis then Mwigulu maana wote hao walikuwa wagomaji na waendesha migomo sana uwakishirikiana na makonda, dendegu, MAKALA, kwa hiyo mwandishi hapa huna hoja tafuta ingine
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara Benki Kuu, aongea na uongozi

    good, uma hao Mr president
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA/UKAWA wasema waliotumbuliwa wote wameonewa

    KWELI HILI BWEGE HALIJITAMBUI JUZI LIMEONGEA NN LEO LIMEONGEA NN, UJINGA TU, JANA CC LEO UKAWA
  7. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu atengua Uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF

    hata mm nilitaka kushangaa Mganda kuongoza shirika la Umma ilikuwa mageuzi makubwa sana hayo katika nchi cjui angelipwaje kama Expatriate au
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza maduka ya dawa yaliyo karibu na hospitali ya rufaa Ligula Mtwara yafungwe

    MBADALA WAKEE UPO au kufunga tu ndo fassion
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM wakimbilia mahakamani kuzuia uchaguzi wa Meya kesho

    mm nashangaa ndani ya miezi miwili wametembelea ikulu mara mbili mbili wanapeleka sumu tu huko, mwacheni Pombe afanye kazi yake Mkapa na bab Rizmoko kaeni kando kipindi chenu kiliisha
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wizi huu wa TANESCO, lazima tufike 1.9tr

    service charge ya nn kama umeme unanunua na kulipia kodi au tozo zote, think twice mkuu
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM wakimbilia mahakamani kuzuia uchaguzi wa Meya kesho

    Mahakama imetupilia mbali ombi lao uchaguzi upo pale pale
  12. K

    JamiiForums Tanzania TRA yakusanya kwa mwezi trilioni 1.7

    mkuu hujui TEA(mamlaka ya Elimu Tanzania) ww mkenya au Mganda
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dau afitinishwa na JPM

    nssf full udini hili halina usiri ni wazi tembea ofisi zote ikifika ijumaa saa sita au saba hakuna mtu ofisini watarudi saa 8 na wachache tu .kwa hiyo mm ckuelewa ilikuwaje ikafikia hapo ofisi kuwa na 80% wtumishi nchi nzima waisalamu haiwezi tokea hivyo by coincidence bu intentinally and...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dau afitinishwa na JPM

    kwan hakuna wengine hadi Dau azeeke hapo, udini huuu nauona tena plz hii hoja adm ifunge haina mashiko
Back
Top Bottom