CHADEMA/UKAWA wasema waliotumbuliwa wote wameonewa

CHADEMA/UKAWA wasema waliotumbuliwa wote wameonewa

Hakuna mwenye utimamu ndani ya UKAWA.
 
Sasa tunaona ni serikali ya namna gani ukawa wngekua nayo kama wangepata nafasi ingekua serikali ya kishkaji kuwahi kutokea duniani imagine wale watendaji wa TPA na TRA waliokua wakigeuza mapato ya nchi kama mapato binafsi...UKAWA NI JANGA na kila anayechagua kua upande wake
 
Kutokana na kudanganya watu hadharani kuwa wewe ni UKAWA kumbe sio, sina imani tena na post zako humu JF. Si kwamba sina imani kwa kuwa wewe upo chama gani sijui, la hasha, isipokuwa kwa kuwa umejidhihirisha kuwa wewe si trustful source of information and so you have lost your reputation


Ni Lumumba buku 7 huyu...anapata ujira kwa kazi hiyo
 
Je, ni kweli wewe ni UKAWA? Hebu tuchungulie ulichoandika siku chache zilizopita ili tujue kama kweli ni mtu wa kuaminika au mnafiki:
KWELI HILI BWEGE HALIJITAMBUI JUZI LIMEONGEA NN LEO LIMEONGEA NN, UJINGA TU, JANA CC LEO UKAWA
 
Sasa ulitaka ukawa watetee utumbuaji majipu ,wakati wao sasa hivi ni watetezi wa mafisadi.
 
Mimi ni ukawa lakini palipo na ujinga lazima niseme. Leo hii Salimu mwalimu na prof Mkumbo wametoka hadharani wakasema wote waliotumbuliwa wameonewa kwani CCM ni ileile. Je kumbe yale makoteina na Bomba la mafuta pale TPA hayakuwa makosa ya kuwawajibisha watendaji kwa mjibu wa hawa ndugu zangu wapinzani.

Mwanzoni nilisema Mobwe alisema Maguruguri anatelkeleza ilani ya ukawa lakini sasa wanabadilika na kusema wanaotumbuliwa hawakuwa na makosa eti kwani watanzania ni wale wale.

Sasa kama mtendaji akifanya kosa basi asiwajibishwe kwa mjibu wa hawa wapinzani basi mie nadhani vyama vifutwe tu kwani havina nia ya kusaidia wananchi. Au hii U turna ya ukawa ni kwa sababu ya Lowasa na kundi lake la Majizi. Soma list of shame ya Chadema.

Wiki mbili zilizopita Mh Mbowe alisema Majipu matatu makubwa ni Kikwete, Mkapa na ombeni Sefue. Haya Magufuri kamtumbua Ombeni sefue jana lakini leo haohao wnageuka na kusema kaonewa. Mie nadhani Dr.Slaa alifanya maamuzi ya kiume kukaa pembeni na watu wanaosema kitu kumbe hawamaanishi.

Ushauri wangu kwa Mgufuri, afanye maamuzi kulingana na ushahidi wa timu za TISS na vyanzo mbalimbali. Kutokana na hivyo amuache pro Muhongo aendelee na kazi kwani sis wapinzani agenda yetu ni kuona serikali isiyo wajibika ili tupate kisingizo cha kuwaambia wapiga kura.

Asante
Kama ni kweli kuna kauli ya namna hiyo imetoka mtaa wa ufipa basi sasa nakosa kuwa elewa na kuta kuwa na upepo wa kuchanganyikiwa umepita hapo, vipi kama yule bwana mkubwa wa TRA mwenye nyumba lukuki kama wilaya naye atakuwa ameonewa? Nadhani kuna tatizo mahali sio bure.
 
Hongereni sana kwakuweka kumbukumbu.umetia usemi usemao ukiwa muongo usiwe msahaulifu
 
Wakati mwingine kuwa mpinzani kunafanya watu watumie masaburi kuwa critical. shite kabisa!
 
Back
Top Bottom