Recent content by kibafute

  1. kibafute

    JamiiForums Tanzania Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

    Sawaaa
  2. kibafute

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Hii press conference haijafanyika tu?
  3. kibafute

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nimeshawishika, Nitagombea urais...!

    Chupi zinawabana vibaya mnoooooo...
  4. kibafute

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Vyombo vya Habari leo saa tano

    Mpaka umri huo bado unapanda daladala ..sishangai kwa nini unamshabikia Zitto..pole sana
  5. kibafute

    JamiiForums Tanzania Jacqueline Wolpe na kashfa ya kumpiga mizinga ya pesa sana mchumba'ke Wastara.

    Anaomba elfu 20? Au dola elfu 20? Sijaelewa
  6. kibafute

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya "Usheikh'' na fani ya uigizaji Tanzania

    Wana syllabus kabisa ya sanaa za maonyesho na sanaa za siasa
  7. kibafute

    JamiiForums Tanzania Nuhu Mziwanda amshukuru Shilole kwa kumpandisha ndege kwa mara ya kwanza...

    Huyu mtoto mpuuzi sana.ana wazazi kweli huyu?
  8. kibafute

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    ACT haitapata hata viti 2 vya ubunge..
  9. kibafute

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabasi yanayosafirisha abiria Dar - Morogoro hayana ratiba maalumu?

    Toka lini mluguru akawa na ratiba
  10. kibafute

    JamiiForums Tanzania Dudubaya adakwa LIVE kwa kuiba simu ya Papaa Mopao wa Twanga Pepeta

    Ngoja akusikia akupige vifupi utoke manundu..shauri zako..auze biskuti stendi?
  11. kibafute

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananizidi umri lakini tunapendana sana

    Tafuta size yako huyo atakupwelepweta
  12. kibafute

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Wanachama waliojiunga hivi karibuni?
  13. kibafute

    JamiiForums Tanzania Zitto aitisha Press Conference (Machi 22, 2015) Serena Hotel

    Hata Mrema alianzaga hivi hivi mwaka 2005 lakini aliishia kupata ukurutu..
  14. kibafute

    JamiiForums Tanzania WanaCCM Arusha, hii ni dharau kwa Katibu Mkuu (Kinana)

    Eti bilionea ..yaani Arusha kuna mijitu mijinga mpaka inatia kinyaa..hivi Arusha ingekuwa nzuri kama Dar au Mwanza mngesemaje..maana Arusha ninavyoitazama ni kama vikindu ..
  15. kibafute

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa kampuni ya Northern Engineering ya Arusha hawajalipa mishahara wafanyakazi wake

    Mbona husemi madebi anayodaiwa na NBC kwenye ma overdraft
Back
Top Bottom