Hii habari iko sawa. Kwa ujumla taarifa ni sawa. Ilisimamiwa vizuri na EMPLOYER. Hakuna bahati mbaya, kila kitu kilipangwa vyema, sema tu jamaa waliwazidi ujanja baada ya kukamua advance.
Nchi walizotuma wakaguzi ni MALAWI na SUDAN.
Kuna kitu sielewi, hili jambo liko wazi mno. Mnataka...
Mkiniambia nyie kabila gani nitawashauri. Maana yako makabila hayana staha.
Hivi mtu unahama nyumbani kwako kumpisha mtu ambaye ana home kwake na kapakimbia? Msijifanye wenye huruma... huo ni ujinga na kujinajisi.. ona sasa mnavyohangaika.
Kama ndo mara yake ya kwanza kulalia godoro huyo mnaye.
Naomba nishauri japo hata sijasoma wengine wamesemaje...Kosa ni lao wanandoa. Unawezaje kumpisha mama mkwe/mama mzazi alale mahali mnapotafutia watoto...!? Aibu iwe juu yenu.. kweli kabisa. Kumbe angekuja baba wa binti naye mngempisha.. ondoeni aibu hapa
Haya mambo hayasemeki.
Mlitakiwa...
Wabongo bwana.. wewe wape tu kichwa cha habari,.. habari yenyewe wanabuni tu. Mfano; kuna gari imeungua moto pale salender. Hapo umemaliza.... watakupa stori A to Z.
Umenigusa. Dawa ni kitofatilia mambo yao. Yaani hata kama mtu kasoma vipi, ila kama alishawahi andika kutoka kulia kwenda kushoto.... anakuwa wa tofauti sana.
Akili mmeziacha wapi? Ukiwa mbunge wa CCM kuna jambo linaenda kombo akilini.. Hili ni swala la kitaifa na si chama. Mkoje nyie.? Siwapendi kama nini....
Mie siwaelewi hakika. Kiwanja mali ya Uma. Mwekezaji kawekwa na Uma. Hakimu wa Uma. Kibali cha ujenzi kimetolewa na Uma. Notice ya kusimamisha ujenzi wakati kesi iko mahakamani imetolewa na Uma. Umeme umefungwa na Uma. Kila kitu kimebarikiwa na kuhalalishwa na Uma.
Unajua muache utoto... hivi...
Yaonekana wengi wenu ni wageni na Tz.. Yatapita shwari na hao wahanga wataitikia hoyeeee... kila itajwapo CCM.
There is nothing bad as little knowledge.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.