Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Gari zinazotakiwa kurudi kiwandani nadhani ni zile mpya zilinunuliwa recently, gari zetu tunazonunua second hand ambayo machoni kwa vigezo vyetu ni mpya lakini unakuta imetengenezwa 2005 au 2000sure hizi gari zinatakiwa kurudi kiwandani, check link ya BBC hii
Toyota yaregesha magari milioni 6 - BBC Swahili - Habari