Recent content by kiamangwana

  1. K

    Watanzania tumepigwa changa la macho mchana kweupe suala la 'mzigo kung'ang'ania kichwani'

    Hivi si angelala chini na mzigo wake,mtu yuko polisi eti mzigo umeng'ang'ania si ulale chini,,changa la macho
  2. K

    Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni

    Hii sio historia ya makonda,tutajie historia kamili ya makonda,mtaficha mpaka lini historia yake,primary na secondary?mnaanzia chuo kikuu
  3. K

    Rais Magufuli awaambia wananchi wa Morogoro wajifunze kuchagua

    Tatizo wee ni ziro,na siku zote ziro ikibadilika sana sana huwa oo,,,,,msigwa alikuwa anamnanga magufuli live kuwa KAMA UKICHAGUA UPINZANI HUPATI MAENDELEO,MBONA IRINGA WAMEMCHAGUA MPINZANI NA WAMEPATA MAENDELEO?maana yake,asante mheshimiwa rais maneno unayosema mjifunze kuchagua hayana ukweli...
  4. K

    CHADEMA: Uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa lini?

    Kwani we hujui mikutano ya siasa imezuiwa mpaka 2020? Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  5. K

    Rais mstaafu wa Afrika Kusini, Jacob Zuma afika Mahakamani juu ya mashtaka 16 kuhusu mauziano ya silaha

    Bahati mbaya ni kwamba wanaoitwa mafisadi hawajulikana na dola,umebaki kuwa wimbo wa kina jingalao tu,
  6. K

    Mimi haitatokea niandamane kwa akili za kuambiwa

    Sasa si wewe?ungekua ndugu yake akwilina,ben saa8,tundu lisu,mawazo,mbwambo,daniel john,super sam,usingesema haya
  7. K

    Video: Wema Sepetu akicheza wimbo wa WOWOWO live ndani ya swimming pool

    Ni huko afrika ya mashariki katika nchi ya TZ, ambapo msanii aliyeimba wimbo wenye fumbo tata (kibamia)amefungiwa pamoja na wimbo wake kuzuiwa kwa kukosa maadili lakini msanii WEMA sepetu amecheza au AMETUPIA video ya UCHI lakini si waziri shonza wala mwakyembe wala BASATA walioliona...
  8. K

    Paul Makonda katoa ujumbe mzito kuwajibu wanaotoa waraka wa kuikosoa Serikali

    Endelea basi,,,,,,ameuwawa mawazo sijaona waraka,amepotea saa 8 sijaona waraka,amejeruhiwa lisu sijaona waraka,limezuiwa bunge live sijaona waraka,imezuiwa mikutano sijaona waraka,,,,,,mnaojuwa mengine rukhusa
  9. K

    Shirika la ndege la kimataifa lalalamikia ukiukwaji wa taratibu za kiusalama uliofanywa na Mkuu wa Mkoa Dar

    Tatizo la wa TZ,unaambiwa hili ni kosa wee unasema mbona hata fulani alifanya,kwa hiyooo
  10. K

    Mkurugenzi wa TBC, Dkt. Ayub Rioba apata ajali Kigoma

    Juzi juzi alikoswa koswa yule mzee kijana mzee,leo dk rioba,chigooooma leka tutigiteee
  11. K

    Moshi vijijini hali ya barabara ni mbaya

    Kama wewe sio mjinga,tangu lini mgombea akaweka lami kwa fedha yake,siasa ni somo kama hujalisoma utaendelea kuchagua SURA badala ya SERA
  12. K

    Kwanini kupongeza Uhuru na Raila kumaliza tofauti zao kwa kukutana, kulaani Lowassa kukutana na Magufuli kupatana?

    Acha trump awaite alivyowaita,kama huelewi alichoongea UHURU na ODINGA,na kama huoni tofauti ya makutano yao basi wewe ni ZWAZWA,kama u mvulana wewe ni waleee,,,,,,, kwa ufupi tu baada ya mkutano UHURU kasemaje kuhusu MAANDAMANO,na MAGU alisemaje baada ya MAKUTANO?
  13. K

    Nini kimeikumba Dar Express?

    Wee eti kilimanjaro ana scania,,,kilimanjaro mjanja ana mix mchina kwa scania
Back
Top Bottom