Moshi vijijini hali ya barabara ni mbaya

Moshi vijijini hali ya barabara ni mbaya

Magu anasomomeka hadi uarabuni ...teh, teh, teh hii sasa ni minyororo haswa na inakata hadi shingo
Kilimanjaro hatuna shida ya barabara,hiyo imetokea kwasababu ya mvua nyingi za gafla,KLM maendeleo yapo hata kabla ya uhuru
 
Inasikitisha sana, kuna watu wanachukulia poa..ila kwenye kampeni wakija utawasikia "nichagueni nitawawekea lami" ila akishapewa anahamia Dar...

Ujinga sana huu ndio maana wengine siasa tumezipotezea
Kama wewe sio mjinga,tangu lini mgombea akaweka lami kwa fedha yake,siasa ni somo kama hujalisoma utaendelea kuchagua SURA badala ya SERA
 
Kutokana na ubovu wa barabara kuanzia zara Tours Bogini, Manosa, Kwa Elia hadi Kahe tunaomba msaada wa dharura kwa wahusika wote, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa wilaya, Mbunge na Madiwani wanaohusika.

Tangu mvua zianze barabara hii imekuwa ni kero kubwa, kuna madimbwi makubwa katikati ya barabara yaani gari ndogo ikipita unaweza kudhani inazama.

Madiwani na mbunge wetu Anthony Komu mko wapi jamani? Igeni Moshi mjini Manispaa wanajenga barabara hadi vichochoroni nyie hata simu hampokei?

Huyo Diwani wa Mabogini ndio hopeless kabisa hata hajielewi ameshindwa hata kuhamasisha wananchi wake tuchangie(kama kweli Halmashauri haina hela) hali ni mbaya sehemu ya kutembea kwa dakika kumi kwa bajaji tunatumia saa nzima.

Jamani tusaidieni.
Huyo diwani wenu kwanza hajitambui kazi kukaa kwenye radio station, hakuna cha maana anachoweza kufanya akija kwenye vikao anakaa kimya tu kazi kupiga makofi wenzake wakichangia hawezi kujenga hoja hata ya kuomba msaada wa madawati
 
Hawa hawakumpa ngosha kura za kutosha, wataipata fresh..!

Siasa za awamu hii..NIPE NIKUPE.
hatuna shda ndgondgo,kule maendeleo yapo hata kabla ya Uhuru
hiyo barabara n suala LA gafla maana n mvua za masika za gafla
 
Komu yuko na stress za gazeti lake la Mwanahalisi kufungiwa.
 
Komu yuko na stress za gazeti lake la Mwanahalisi kufungiwa.
Wanasiasa ni watu wa ajabu huyu Komu alipata ubunge kwa kubebwa na Mbowe..aliyeshinda kura za maoni alikuwa ni Lucy Owenya mtoto wa Ndeasmburo..huyu maskini mwenzetu ametukimbia. Ukienda moshi mjini barabara zinajengwa usiku kucha na ni hao hao CHADEMA..SASA NAJIULIZA CHADEMA YA MOSHI MJINI/MANISPAA NA MOSHI VIJIJINI NI TOFAUTI????!!!
 
tutaishugulikia mkuu,cdm n chama cha maendeleo,suala hilo tunalitatua haraka sana,c unaona maeneo mengine yenye cdm kulivyo na maendeleo? chonde chonde vuta subira kidg
 
Hawa watu wenye sifa ya wizi ,miguu kama sipido kumbe hata barabara hamna kwao??

Sasa wamekumbatia lichadema la nini? Kutwa nzima wanatetea mafisadi mtandaoni
 
IMG_5146.jpg

Hatimaye Chami akumbukwa Jimbo liko Taabani hakuna wa kusema Matatizo ya Wananchi zaidi ya wananchi wenyewe

Uko wapi Mh Mbunge Kamanda Komu??
 
Back
Top Bottom