Recent content by Kiagoh92

  1. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufungua biashara ya stationery

    Boss naomba namba hizo
  2. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Mashine ya juisi ya miwa inauzwa

    1m vp ije???
  3. Kiagoh92

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kumtongoza msichana niliyepewa namba yake na aliyenipa kunionya nisimtaje?

    Wew unajiita engeneer wakat hata kumuanza demu huwezi. Vuta taswira unataka upige foundation kwenye tope zito huwa unaanzaje ili zege likubali haki ya nani hutafeli.
  4. Kiagoh92

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kupendwa na watoto wa shule. Nifanyeje ili nikwepe vishawishi vyao?

    Ushauri wang tangulia jela kabisaaaa hyo ndio njia rahisi
  5. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Ice cream mashine ya Koni ipo sokoni

    Hapan mkuu huo utaratibu hatujawa nao kwasasa
  6. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu vifaa vya kuchapisha

    Wadau msaada kwa anayepajua wanapouza vifaa vya kuprintia tshirt Mesh-screen Photo emulsion Ink Msaaada pliiiz
  7. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Ice cream mashine ya Koni ipo sokoni

    Utaratibu wa kutuma upo unaweza kutumia namba kwa mawasiliano zaidi
  8. Kiagoh92

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeanzisha uhusiano na mwanamke kazini, sasa ananifanya nione kazi chungu

    Mi nawataka watu kama hao nipe namba yake
  9. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Ice cream mashine ya Koni ipo sokoni

    TUNAUZA ICE CREAM MASHINE(KONI) Anza sasa Biashara hii uvune pesa,,,,, Tunauza mashine za kutengeneza ICE CREAM(koni) pamoja na CHOSTICK Gharama ni 2400000 mafunzo ya kutengeneza Ice Cream hutolewa Bureeeeee Ofisi ipo AIRPORT _KIPAWA CONTACT;; 0625492963 {Whatsapp}...
  10. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Wenye diploma GPA chini ya 3.0 hawaruhusiwi tena kusoma degree kama zamani

    Mwambie akasome FOUNDATION COURSE(OPEN UNIVERTY) Mwaka mmoja wa pili anasoma degree chuo chochote kile kupitia hiko cheti.... Nb,,,,,Hyo program imefunguliwa na uache ubishi.
  11. Kiagoh92

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naenda kuoa Pemba

    Ahsante mistar kuntuuu
  12. Kiagoh92

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naenda kuoa Pemba

    NAENDA KUOA PEMBA. Naenda kuoa Pemba, msichana wa Kojani Yule anaejipamba, kwa mitandio kitwani Aongea kwa kutamba, na lafudhi ya kipwani Naenda kuoa Pemba, alo na njema tabia. Kojani nikimkosa, natafuta Mkoani Niweze peleka posa, ili nipate mwandani Naenda haraka hasa, nisichelewe njiani...
  13. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Failed To install Bluestack

    Tumia koplayer haitakusumbua ndugj
  14. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Tunauza mashine za kutengezea Ice cream (Koni)

    0625492963 whatsapp Kwa anayehitaji picha za mashine pamoja na maelekezo yake.
  15. Kiagoh92

    JamiiForums Tanzania Open University, Form six leaver itawasaidia

    Namba zipo hapo
Back
Top Bottom