Failed To install Bluestack

Failed To install Bluestack

Ukienda kwenye interface ya My Computer uki-right click kisha uka-left click Properties utaona processor imeandikwa ngapi.

Either way install momo player
Iyo hapo
1531724183344.jpg
 
Ishu kama hiyo hiyo niliisolve kwa kuinstall mashine windows 8
Wacha nijaribu hio juu nimepewa na Chief Mkwawa ikigoma nayo itanipasa kubadili window kutoka 7 kwenda 10 Ingawa 10 siipendi.
 
Nimefanikiwa kuipakua hii na kui install, ingawa haitaki whatsapp kukubali inasema not compatible with my device lakini apps zingine zinakubali, nashukuru sana.
mkuu hio whatsapp una install toka playstore? jaribu kueka manual toka site yao.

Android

ikikataa labda uchange hio emulator itoke tablet mode (kiupana) iende phone mode (kiurefu).
 
Kwangu nime-install lakini haiplay video clips... msaada
Jaribu kudowload vlc apk kupitia play store au download manually kisha iweke uone. Jaribu Nox player hii ni nzuri pia unairoot kisha video, picha na audio unazopata kwenye whatsApps na site zingine unazuhamishia kwenye pc unacheki.
 
Back
Top Bottom