Wenye diploma GPA chini ya 3.0 hawaruhusiwi tena kusoma degree kama zamani

MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Messages
1,071
Likes
1,628
Points
280
MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2017
1,071 1,628 280
Hii habari ni ya kusikitishaaa nilikuwa maeneo ya mnazi mmoja kuna ndugu yangu alimaliza chuo mwaka diploma ya electrical engineering ila GPA ana 2.9 ila kilichonisikitisha ni kwamba hawezi tena kujiendeleza na masomo ya elimu ya juu kwenda degreee hiii ni baada ya kupitia TCU .

nikajalibu kuuliza sasa inakuwaje TCU wakanijibu hawana namna ya kumshauli labda alisitiiiiii DIPLOMA YAKE TENA na kuhusu zile PRE ENTRY MAVYUONI ZIMEFUTWAAA HIVYO WAMESHIDWA KUMSAIDIA AFANYE KITU GANI.

kwaiyo hii ndio hali halisiaa kama unaangaika kutafuta chuo hali ndo hiyo
 
jamii01

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Messages
1,865
Likes
415
Points
180
jamii01

jamii01

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2010
1,865 415 180
Zamani mtu ulitakiwa kusoma degree kama una lower second na hata kama una pass bado ulikuwa unasoma as longer unajilipia ada mwenyewe..
 
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,334
Likes
1,006
Points
280
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,334 1,006 280
Kuna kitu kinaitwa RPL, kinaratibiwa na TCU wao wenyewe, unafanyiwa mafunzo fulani na chuo husika yanayohusu kozi unayotaka kusoma kwa muda, kisha TCU wanakupa mtihani kupitia kile chuo, ukifaulu huo mtihani kwa viwango walivyoviweka basi unadahiliwa kuisoma hiyo kozi. Hebu jaribu kufuatilia kwenye website ya TCU kuhusu hiyo RPL utapata mwanga zaidi. (Maelezo yangu yanaweza yasiwe sahihi kwa 100% ila amini niko "relevant" katika hili).
 
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,334
Likes
1,006
Points
280
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,334 1,006 280
Veta sijui kwanini watu wanaidharau.

Veta ni taasisi pekee ambayo asilimia 90 ya wahitimu wamejiajiri au kuajiriwa (Huu ni utafiti wangu binafsi)
KOSTEK tunakuona tuu na tafiti zako zisizo na kibali....
 
MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Messages
1,071
Likes
1,628
Points
280
MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2017
1,071 1,628 280
Kuna kitu kinaitwa RPL, kinaratibiwa na TCU wao wenyewe, unafanyiwa mafunzo fulani na chuo husika yanayohusu kozi unayotaka kusoma kwa muda, kisha TCU wanakupa mtihani kupitia kile chuo, ukifaulu huo mtihani kwa viwango walivyoviweka basi unadahiliwa kuisoma hiyo kozi. Hebu jaribu kufuatilia kwenye website ya TCU kuhusu hiyo RPL utapata mwanga zaidi. (Maelezo yangu yanaweza yasiwe sahihi kwa 100% ila amini niko "relevant" katika hili).
Hiyoo RPL IMESITISHWA KWA MUDA TULIULIZIA MKUU
 
Jini Kisiranii

Jini Kisiranii

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2018
Messages
1,564
Likes
1,431
Points
280
Jini Kisiranii

Jini Kisiranii

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2018
1,564 1,431 280
Kuna kitu kinaitwa RPL, kinaratibiwa na TCU wao wenyewe, unafanyiwa mafunzo fulani na chuo husika yanayohusu kozi unayotaka kusoma kwa muda, kisha TCU wanakupa mtihani kupitia kile chuo, ukifaulu huo mtihani kwa viwango walivyoviweka basi unadahiliwa kuisoma hiyo kozi. Hebu jaribu kufuatilia kwenye website ya TCU kuhusu hiyo RPL utapata mwanga zaidi. (Maelezo yangu yanaweza yasiwe sahihi kwa 100% ila amini niko "relevant" katika hili).
Kaka mimi nipo veta, RPL tunairatibu veta na sio TCU yaan kama wewe ni fundi, unajiandikisha then tutakufata ulipo tukupe mitihani yetu ukifauli tunakupa cheti
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,145
Likes
3,519
Points
280
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,145 3,519 280
Kama alivyosema ndio walewale kuna RPL na pia kwa sasa kuna Foundation Course ya OUT. Kurudia Diploma maona si ushauri mzuri kwani sijui ukiwa na diploma mbili za course hiyo hiyo inamaanisha nini.
Kuna watanzania wenzetu wameamua kuifanya elimu ya degree kuwa ngumu kupita kiasi kupatikana kwa kuweka vigezo banifu. Kumbuka walianza na GPA ya 3.5 kwa diploma zote wakajishtukia wakashusha hadi GPA 3 lakini afya wakabana 3.5.
Wakapiga rungu jingine-diploma za afya hazina uhusiano wowote na cheti cha advance hivyo kama ndoto yako ilikuwa degree za afya na ukakosa zile point 8 au 6, umepoteza miaka yote miwili ya advance inabidi utegemee cheti cha form 4 tu.
Kumbuka hata dhana na nadharia ya "Chuo Huria" Open University kwa chuo chetu haipo. Sasa Foundation course bila F6 au Diploma haiwezekani, kwa wenzetu (e.g. UK) kinachohitajika ni uwe na umri fulani na nia ya kusoma-unadahiliwa, kazi kwako.
Swali vigezo hivi vinapaisha viwango vya wahitimu wa degree/diploma au vinawanyima watanzania fursa za kujiendeleza.
 
Mkuu kuna RPL level/category tofauti. Ya VETA nafikiri inakuruhusu kuwa certified kwenye mambo yao ya ufundi wakati ya TCU ikifanyika vyuo vilichaguliwa inakuruhusu kudahiliwa usomee degree.
 
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Messages
1,526
Likes
1,102
Points
280
mosabiy

mosabiy

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2017
1,526 1,102 280
Veta sijui kwanini watu wanaidharau.

Veta ni taasisi pekee ambayo asilimia 90 ya wahitimu wamejiajiri au kuajiriwa (Huu ni utafiti wangu binafsi)
Watu wengi huamini wanaosona veta ni wale waliofeli. Lakini ukweli ni kwamba ni taasisi ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa taifa. Kiwanda kimoja kinaweza kuwa na electrical engineer mmoja lakini FTC zaidi ya mmoja.
 
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,334
Likes
1,006
Points
280
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,334 1,006 280
Mkuu kuna RPL level/category tofauti. Ya VETA nafikiri inakuruhusu kuwa certified kwenye mambo yao ya ufundi wakati ya TCU ikifanyika vyuo vilichaguliwa inakuruhusu kudahiliwa usomee degree.
Swali dogo nje ya mada, mkuu unalizungumziaje ongezeko la udahili kwa chuo kikuu cha Sokoine hasa kwa kozi Veterinary Medicine, kwa mujibu wa admission guidebook ya TCU inaonyesha kwamba mwaka huu watadahili wanafunzi 350, vipi kuna miundombinu kweli toshelezi ?

Najua kwa namna moja au nyingine wewe ni mdau
 
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Messages
5,931
Likes
9,425
Points
280
S

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2017
5,931 9,425 280
Kama alivyosema ndio walewale kuna RPL na pia kwa sasa kuna Foundation Course ya OUT. Kurudia Diploma maona si ushauri mzuri kwani sijui ukiwa na diploma mbili za course hiyo hiyo inamaanisha nini.
Kuna watanzania wenzetu wameamua kuifanya elimu ya degree kuwa ngumu kupita kiasi kupatikana kwa kuweka vigezo banifu. Kumbuka walianza na GPA ya 3.5 kwa diploma zote wakajishtukia wakashusha hadi GPA 3 lakini afya wakabana 3.5.
Wakapiga rungu jingine-diploma za afya hazina uhusiano wowote na cheti cha advance hivyo kama ndoto yako ilikuwa degree za afya na ukakosa zile point 8 au 6, umepoteza miaka yote miwili ya advance inabidi utegemee cheti cha form 4 tu.
Kumbuka hata dhana na nadharia ya "Chuo Huria" Open University kwa chuo chetu haipo. Sasa Foundation course bila F6 au Diploma haiwezekani, kwa wenzetu (e.g. UK) kinachohitajika ni uwe na umri fulani na nia ya kusoma-unadahiliwa, kazi kwako.
Swali vigezo hivi vinapaisha viwango vya wahitimu wa degree/diploma au vinawanyima watanzania fursa za kujiendeleza.
Umechambua vizuri sana mkuu. Hawa watunga sera wetu unajiuliza wanapoweka vigezo banifu vya watu kudahiliwa katika taasisi za elimu ya juu ni kwamba hawataki watu wajiendeleze au ni kitu gani! Walianza na kufuta Mature Age Entry ambayo ilikua inawasaidia hata watu amabao walikua hawana ambition ya kuajiriwa na most of them wakijilipia wenyewe! Kuna mambo ya ajabu sana
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,145
Likes
3,519
Points
280
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,145 3,519 280
Swali dogo nje ya mada, mkuu unalizungumziaje ongezeko la udahili kwa chuo kikuu cha Sokoine hasa kwa kozi Veterinary Medicine, kwa mujibu wa admission guidebook ya TCU inaonyesha kwamba mwaka huu watadahili wanafunzi 350, vipi kuna miundombinu kweli toshelezi ?

Najua kwa namna moja au nyingine wewe ni mdau
Mimi najiuliza kama niko ndotoni au vipi, nimeona hizo takwimu na sina jibu. Labda wenzetu kuna wanalolifahamu na sisi hatulijui lakini nasita kuamini kwamba wakiingia hao 350 direct entrants na kuna namba tofauti ya diploma holders -COLLEGE ile haitamudu. Niitwe doubting Thomas lakini nionacho ni kuporomoka kwa quality ya graduates. Hapo hapo BLS intake wametangaza nafasi 300.
 
fredericko

fredericko

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Messages
1,953
Likes
1,202
Points
280
fredericko

fredericko

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2014
1,953 1,202 280
Mpeleke foundation course
 
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
1,334
Likes
1,006
Points
280
ndio walewale

ndio walewale

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
1,334 1,006 280
Mimi najiuliza kama niko ndotoni au vipi, nimeona hizo takwimu na sina jibu. Labda wenzetu kuna wanalolifahamu na sisi hatulijui lakini nasita kuamini kwamba wakiingia hao 350 direct entrants na kuna namba tofauti ya diploma holders -COLLEGE ile haitamudu. Niitwe doubting Thomas lakini nionacho ni kuporomoka kwa quality ya graduates. Hapo hapo BLS intake wametangaza nafasi 300.
Acha tusubiri na tuone, mwaka huu wako kama 88 na ni "mbanano" huko maabara, n.k sasa sijui hiyo 350+. Na muda ni mfupi sana umebaki kabla ya mwaka mpya wa masomo hapo Novemba kuanza, sasa sijui itakuaje.

Ongezeko la ghafla ya udahili hata kama ni kwa nia njema, lakini bila kuendana na miundombinu iliyopo mwisho wa siku ni lazima lita "compromise" ubora wa elimu itolewayo.

Huku UDSM ikipunguza udahili kwa baadhi ya kozi, naona SUA wao wameongeza tena kwa idadi kubwa, hii ni "taa nyekundu" kwa chuo kipya cha kilimo cha Mwl. J.K.Nyerere huko Butiama Mara.
 
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
5,145
Likes
3,519
Points
280
Masiya

Masiya

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
5,145 3,519 280
Acha tusubiri na tuone, mwaka huu wako kama 88 na ni "mbanano" huko maabara, n.k sasa sijui hiyo 350+. Na muda ni mfupi sana umebaki kabla ya mwaka mpya wa masomo hapo Novemba kuanza, sasa sijui itakuaje.

Ongezeko la ghafla ya udahili hata kama ni kwa nia njema, lakini bila kuendana na miundombinu iliyopo mwisho wa siku ni lazima lita "compromise" ubora wa elimu itolewayo.

Huku UDSM ikipunguza udahili kwa baadhi ya kozi, naona SUA wao wameongeza tena kwa idadi kubwa, hii ni "taa nyekundu" kwa chuo kipya cha kilimo cha Mwl. J.K.Nyerere huko Butiama Mara.
Hata kama kuna muujiza wa kuongeza majengo na lab facility, lakini issue kubwa itakuwa staffing levels (walimu, technicians na field offier) na juu ya hilo weka usafiri wa kupeleka vijana field. Nisicho elewa onezeko kubwa hili linaongozwa na sera gani? Ukizalisha wote hawa unawapeleka wapi.

Siri ya Mwal. Nyerere University of Agriculture and Technology nafikiri anayo Ndalichako na bosi wake wengine tunashangaa tu yanayo endelea-utakuaje na chu karibia miaka 4 hakuna udahili on the ground. Chuo kile kiki kick-off kitaimsha SUA kwa kiasi fulani, lakini pia kitafika na kusaidia kilimo sehemu SUA haiwezi kufika. Kwa nchi ya kilimo SUA pekeyake haitoshi tunahitaji uwekezaji mkubwa zaidi.
 
Forum statistics

Threads 1,249,898
Members 481,140
Posts 29,714,308