KWA TAARIFA YAKO IKIFIKA WAKATI WA KURUDISHA MALI ZA DINI/MADHEHEBU UTASHANGAA HATA CHUO KIKUU CHA WAISLAMU KILICHOPO MOROGORO SISI TUSIOWAISLAMU TUTAKITAKA, UNAANGALIA BORITI AU KIBANZI KWENYE JICHO LA MWENZIO?. TULIA
Kwa staili hii tusitegemee badiliko lolote hata katika uchaguzi ujao yaani watu wanafunika kombe upinzani utaibuka huenda baada ya 2020 maana kila mmoja anaogopa.
Kuhama kwa Maalim Seif sijui kama itahusiana na hoja za uamsho kujiusisha na siasa za imani kali, wale mashek wakitoka ndiyo nitajua kabla ya kuchafua hewa lazima ujue feni inafanya kazi.
Siasa ni mchezo mchafu na huyu jamaa ni mchafu kweli kweli yaani ameweza mchezo, ngoja aweke heshima kati ya mashetani tuliyoyazoea na huyu Malaika mpya. Wapinzani wenyewe ni kelele tu hawana kipya zaidi ya kuyaacha majimbo waliyoyashindia kwa gharama za wananchi na kujiunga tena na wale wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.