Prof. Lipumba: ACT-Wazalendo imeongeza damu yenye virusi ikidhani ni damu salama

Wajanja wachache huko CCM wakiongozwa na cyprian Musiba na Le mutuz wanaandaa Bajeti kubwa ili wakachukue pesa Hazina pesa za walipa kodi kwa ajili ya kudhoofisha ACT na kuua upinzani kwa ujumla
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotazama TBC kwa hoja kuwa eti ina boa, hadi wengine kuuita TBCCM, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kwa kuangalia TBC. Mimi naangalia TBC japo nina kaugomvi kidogo na wife hapa kuhusu hili, yeye anataka kuangalia Clouds 360, hivyo sometimes lazima ubaba utumike kinguvu, TV ya kuangaliwa na baba ni TBC!, hivyo mtu kuwa mzalendo wa kweli wa taifa lako, ni pamoja na kuiangalia TV ya Taifa lako, hata kama ni kweli sometimes inaboa, uzalendo ni kuweka utaifa mbele, hivyo TV ya Taifa ndio TV yetu sisi wazalendo wa kweli wa taifa letu, hivyo tunaangalia TBC.

Leo Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali
Weee Hivyi TBC baado IPO nna miaka kadhaa sjaiangalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Take it from me, ni zaidi ya kumkubali, ni kama kumuabudu fulani. Hili la viongozi waabudiwa kwenye siasa ni la kawaida sana, anachosema ndicho even if it doesn't make any sense, watafa tuu, mfano mzuri ni kususia uchaguzi wa marudio, mind well mimi kama mwanahabari, niliongea na Maalim kumuuliza kwa kususa what do they want to achieve huku niki cite the consequences, matokeo kamili ya kususa kule ni 2020.
Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua hatua zozote - JamiiForums
P
Bado huko si kuabudu mkuu , kwa yeyote mwenye akili timamu asingeweza kushiriki uchaguzi wa marudio , ile ilikuwa kuvunja katiba ya Zanzibar waziwazi
 
Prof. Lipumba amekiponda ACT, ukimondoa Zitto na mwana mikakati wake Prof. Kitila Mkumbo, amesema ACT ni chama hoi bin taaban kama mgonjwa mahututi aliyepo ICU akihitaji kuongezewa damu, bahati damu yenyewe aliyoongezewa ni damu yenye virusi, badala ya kuponya mgonjwa, itamuangamiza.
sasa ulitegemea afurahie,propesa ni sawa na mwanmke alieachwa ,atponda kwa kila namna.
 
Na Yeye huyo Lipumba ni Kirusi ndani ya CUF bora amepewa KAFU yake aendelee nayo,wanachama wa CUF wameenda ACT Wazalendo.
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotazama TBC kwa hoja kuwa eti ina boa, hadi wengine kuuita TBCCM, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kwa kuangalia TBC. Mimi naangalia TBC japo nina kaugomvi kidogo na wife hapa kuhusu hili, yeye anataka kuangalia Clouds 360, hivyo sometimes lazima ubaba utumike kinguvu, TV ya kuangaliwa na baba ni TBC!, hivyo mtu kuwa mzalendo wa kweli wa taifa lako, ni pamoja na kuiangalia TV ya Taifa lako, hata kama ni kweli sometimes inaboa, uzalendo ni kuweka utaifa mbele, hivyo TV ya Taifa ndio TV yetu sisi wazalendo wa kweli wa taifa letu, hivyo tunaangalia TBC.

Leo Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali
Ilitakiwa iwe TV ya taifa ambayo isingelalia chama chochote na ingekuwa imejikita kutuhabarisha habari za uchambuzi,uchunguzi,matukio,habari za kimataifa na vitu kama hivyo. Sasa ilishageuka kuwa TV ya chama na ni kweli inaboa sio siri. Haina habari za TV ya taifa zaidi ni TV ya chama.
endelea kuwa mzalendo kwa kuitazama TBC.
Wabeja sana okukaya.
 
Prof. Lipumba amekiponda ACT, ukimondoa Zitto na mwana mikakati wake Prof. Kitila Mkumbo, amesema ACT ni chama hoi bin taaban kama mgonjwa mahututi aliyepo ICU akihitaji kuongezewa damu, bahati damu yenyewe aliyoongezewa ni damu yenye virusi, badala ya kuponya mgonjwa, itamuangamiza.
Kuachwa....kuachwa, mbaya zaidi na yule uliyempenda. Wewe una konda mwenzie ana nenepa kwa mawazoooo.......

Wasanii wanajua!
 
Kuhama kwa Maalim Seif sijui kama itahusiana na hoja za uamsho kujiusisha na siasa za imani kali, wale mashek wakitoka ndiyo nitajua kabla ya kuchafua hewa lazima ujue feni inafanya kazi.
 
Prof. Lipumba amesema kazi kubwa ya kwanza ya chama chake ni kuwaleta pamoja wanachama wake, kuwa kitu kimoja kujenga chama.
Muhuni tu na lipumba likubwa hilo, kuwaunganishaje kwani anajua kipindi yupo CCM chama kilikuwa vipi? Nitaipenda tena CUF pale Lipumba akitoka. Na hivi ndivyo nilivyomfanyia Wenger Arsenal.
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotazama TBC kwa hoja kuwa eti ina boa, hadi wengine kuuita TBCCM, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kwa kuangalia TBC. Mimi naangalia TBC japo nina kaugomvi kidogo na wife hapa kuhusu hili, yeye anataka kuangalia Clouds 360, hivyo sometimes lazima ubaba utumike kinguvu, TV ya kuangaliwa na baba ni TBC!, hivyo mtu kuwa mzalendo wa kweli wa taifa lako, ni pamoja na kuiangalia TV ya Taifa lako, hata kama ni kweli sometimes inaboa, uzalendo ni kuweka utaifa mbele, hivyo TV ya Taifa ndio TV yetu sisi wazalendo wa kweli wa taifa letu, hivyo tunaangalia TBC.

Leo Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali
Profesa ameshakiua chama,yy abaki amalizie ruzuku na kisha aombe achukue uanachama wa act-wazalendo,ksababu cuf anaweza kubaki peke yake
 
TBC sio TV ya CCM ni TV ya Taifa, ila kwa vile CCM ndio chama tawala, na Tanzania inaongozwa kwa ilani ya CCM, automatically CCM lazima itakuwa na upper hand, ila kwenye matumizi ya CCM kuitumia TBC, CCM inalipa tuu kama mteja mwingine yoyote, Chadema ikiwa na shughuli za Chama, ikalipe tuu nayo itakuwa covered.
P

Mkuu umeongea kama vile TBC ni chombo huru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Pamoja na tuhuma za baadhi ya wanabodi kutotazama TBC kwa hoja kuwa eti ina boa, hadi wengine kuuita TBCCM, lakini hii ndio TV yetu pekee inayoendeshwa kwa kodi zetu, hivyo kutazama TBC sio issue ya choice bali ni wajibu, hivyo tutimize wajibu wetu kwa kuangalia TBC. Mimi naangalia TBC japo nina kaugomvi kidogo na wife hapa kuhusu hili, yeye anataka kuangalia Clouds 360, hivyo sometimes lazima ubaba utumike kinguvu, TV ya kuangaliwa na baba ni TBC!, hivyo mtu kuwa mzalendo wa kweli wa taifa lako, ni pamoja na kuiangalia TV ya Taifa lako, hata kama ni kweli sometimes inaboa, uzalendo ni kuweka utaifa mbele, hivyo TV ya Taifa ndio TV yetu sisi wazalendo wa kweli wa taifa letu, hivyo tunaangalia TBC.

Leo Mwenyekiti wa CUF Taifa kwa mujibu wa Msajili wa Vyama Siasa, na kwa mujibu wa Mahakama, Prof. Ibrahim Lipumba, yuko live TBC kwenye kipindi cha Jambo.

Natoa wito, karibuni tumsikilize.

Paskali
''Why do politicians break their promises'' Alikosea pale aliposema amejiuzuru siasa 2015 hata hivyo Viongozi hawa wakitaifa hawatunzi kauli zao kwasababu ya uroho wa madaraka. kwasababu ya uroho wa madaraka hawana uwezo wa kumaliza migogoro kwenye vyama vyao nimegundua wao wenyewe huanzisha hiyo migogoro
 
Back
Top Bottom