Ndugu Mshana barikiwa mno, nimeuelewa sana huu uzi. Nikirudi kwenye Bible naona ulichokisema kikitokea, nikimkumbuka myahudi namwona mwarabu akifuata nyayo hizo hizo maana wote waliahidiwa baraka. NB, myahudi ndiye anayeongoza kwa technolojia saivi na ndiyo mtu mwenye akili kuliko binadamu yeyote.