Shule za bweni zipo aina nne
1. Vipaji maalum mf. Kilakala, ilboru n.k
2. Bweni ufundi mf. Moshi technical .nk
3. Bweni kitaifq mf. Moshi sekondari,
4. Bweni teule mf. Shule za jamii ya kifugaji kule monduli, ngorongoro na Longido ambapo wanafunzi wote wataingia bweni ili wasihame na wazazi wao...
Maswala ya prem waachie walimu wanajua namna ya kuandikisha wewe lipa ada kwenye shule mpya. Pia shule ya Zaman hawana uwezo wa kuzuia uhamisho hata kama wanakudai,
Mdau chukua fomu ya kabla ya elimu bure lingamisha na hiyo.
Serikali imelipa ada sh. 70,000 tu nyingine utalipa.
Nimekagua fomu za shule nyingi zina huo mchango anaosema mdau.
Kwenye cheti cha kuzaliwa cha mtoto kuna sehemu ya kujaz jina la mtoto, andika andika jina lake kama linavyosomeka shuleni, sehemu ya jina la baba andika majina yako kama yanavyosomeka kwenye vyeti vyako. Mfano
Child's name: John Dowe Joseph
Father's name: JUMA SHAABANI HUSSEIN
Kwa maana hiyo...
Kibali cha kukariri kinatolewa afisa elimu mkoa baada ya kupitia maombi ya mzazi kwa barua ikiwa na viambatisho kama vile vile taarifa ya daktari kuhusu ugonjwa.
Hatua za kufuata ni barua ya mzazi ataandika kuomba kumkaririsha mwanaye kwa sababu.... barua itapitia kwa mkuu wa shule ambaye...
UTARATIBU ULIIOMBA NI WA KUMWAMISHA MTOTO LAKINI KWA KUWA BADO HAJAAZA SHULE UTARIBU NI KUMBADILISHIA SHULE
NAMNA YA KUONBA KUBADILISHA SHULE
Andika barua kwa katibu tawala wa mkoa alikopangiwa mwanafunzi ukimtaarifu kwamba unataka kumbadilishia shule mwanao kwenda mkoa mwingine kwa sababu...
Kulikua na terms za kutengeneza kichekesho?
Yeye kazi alipewa kurekod na kutengeza cd ya sherehe, alitakiwa afanye editing kwa kuondoa baadhi ya vitu ambavyo havina umuhimu. Lakin yeye akaamua kutengeneza kichekesho na nadhani alitaka kujitengenezea popularity kupitia clip hiyo.
Hakuangalia...
Wasalaam
Naombeni msaada wa kisheria kwa namna gani naweza kumchukulia hatua cameran ambaye amepatiwa kazi ya kupiga picha na video kwenye tukio la harusi/sendoff lakini akakiuka maadili kwa kusambaza mitandaoni baadhi ya matukio yaliojiri ambayo hayakuwa ya kawaida (unintentional scenario)...
Wizi upo wapi hapo, huo ni mchanganuo tu ili hela ibalancr. Matumizi halisi yanaweza kuwa chini ya hapo au juu kulingana na hali halisi site na bei halisi ya vifaa
Kampuni za bima zinapata faida pale ambapo janga halitatokea na watatumia gharama yoyote kuverify claim kama ni gunuine. Hiyo verification inatumia muda na pesa hivyo unatakiwa kuwa mvumilivu ili wadhibitishe kama kweli simu imepotea au kuharibika kweli ndo walipe. Wasipofanya hivyo kila siku...
Utaratibu upo unaenda baraza la mitihani wanafanya equivalence
Pia walitangaza utaratibu wa kufanya online waweza Ingia www.necta.go.tz nenda kwenye e-services
Au wasiliana nao kwa esnecta@necta.go.tz
Wakupe maelekezo.
Kama sijakuelewa vibaya unataka kutuma bulk sms kwenda kwa watu wengi kwa kutumia ms excell.
Kama ni hivyo zipo njia nyingi lakini rahisi kwangu fanya hivi.
Fungua ms excel.
Column ya kwanza andika namba za simu.
Column ya pili andika ujumbe unaotaka.
Hakikikisha format cell kuwa text.
Then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.