Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,961
- 3,923
Kama imepotea itakuwaje?Risiti uwe nayo
Unakuta gharama ya kufatilia hiyo bima ni sawa na gharama ya kununua simu mpyaRefer to tigo bima je, walikuwa wanalipwa kwa wakati?
Usike kupoteza simu halafu ukaifatilia kama wazee wastaafu wanaofatilia mafao