Recent content by khasastika

  1. khasastika

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Abdul Nondo alijiteka na kujisafirisha mwenyewe mpaka Iringa. Ladai alifuata mapenzi

    Geshi la polishi. Najiuliza kazi yao sijaijua
  2. khasastika

    JamiiForums Tanzania Rugemalira ataja wezi wa Escrow mahakamani, washirika wengine awapeleka TAKUKURU na kudai hata yeye 'walimliza'

    Ndicho kinachofuatia. Kesi za ufisadi huanzwa kwa mshindo mkuu kisha huisha kwa unyonge. Hukumu yake sasa ni kichekesho
  3. khasastika

    JamiiForums Tanzania Nahisi msichana wa kazi ni mchawi

    Ila kumpekua mtu si vyema basi tu tunapenda kuwapekua wadada wa kazi
  4. khasastika

    JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Iyo ya kutongozwa sana na waume za watu mbona balaa wamekuona wafaa kuwa mchepuko. Kimbiza wote
  5. khasastika

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote kukatika kwa Umeme na Mvua?

    Sio kwa mvua hizi ambazo hazina uharibifu wa miundombinu. TANESCO wamepata kisingizio tu
  6. khasastika

    JamiiForums Tanzania Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    Ubongo wake utakuwa na shida huyu dada. Huruma kwa wanawe maana mama wamempata si haba
  7. khasastika

    JamiiForums Tanzania Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

    alisema anawapa ofa atawaunblock
  8. khasastika

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kampuni za Mchechu ndio zinajenga nyumba za NHC?

    tanzania ya viwonder
  9. khasastika

    JamiiForums Tanzania UCHOCHEZI? Mbunge Cecil D. Mwambe(CHADEMA) ashikiliwa na Polisi Mtwara

    Muhula huu mpaka uishe tutayaona mengi
  10. khasastika

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mlipuko wa bomu Wilayani Ngara waua Wanafunzi 05, zaidi ya 45 wamejeruhiwa

    Inalillah wainaillah rajioun. Allah awarehemu na awape subra wafiwa
  11. khasastika

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mama Diamond kumshtaki Ommy Dimpozi

    Hukukosea kujiita gentamycine we ni antibiotic tena broad spectrum antibiotic
  12. khasastika

    JamiiForums Tanzania Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

    Mwana Banzi nagwe umkwele Masai dada aje umlete ukae yetu aje dbeze
  13. khasastika

    JamiiForums Tanzania Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

    Derega jamtamta
Back
Top Bottom