Recent content by Khall

  1. Khall

    Wakara wa barabara watekereza ubomoaji wa nyumba licha ya kuwepo na zuio la mahakama

    Wakala wa balabala nchini wetekele ubomoaji wa nyumba zilizojengwa katika hifadhi ya barabara ya mita 121.5, utekelezaji huo umefanyika leo maeneo ya kimara suka karibu na kanisa la Roman Catholic, licha ya kuwepo kwa.zuio la mahakama la kuto kubomoa nyumba hizo mpaka pale mahakama itakapotoa...
  2. Khall

    Mbunge wa Mikumi, Prof. Jay akumbwa na bomoa bomoa Mbezi Lous, mwenyewe ang'aka...

    Kifupi hii bomoa bomoa inahusu mladi wa uboreshaji wa balabala ya morogoro ambao unahusisha upanuzi wa barabara hiyo kutoka kimara mpaka kiluvya kwa mapana ya mita 121.5 kila upande, na kwa mujibu wa wakala wa barabara yani Tanroads hakuna fidia yoyote ya ardhi au maendelezo ya ardhi.... Mengi...
  3. Khall

    Miti kwa ajili ya kivuli

    Kuna miti mizuri ya kivuri inaitwa miaradali inakua haraka sana, jarubu kutembelea maeneo ya vitaru vya maua na miti ulizia mti huo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Khall

    Bomoa bomoa barabara ya Morogoro inaendelea

    Hii bomoa bomoa haiko rasmi nilikuwepo sehemu ya tukio na nikafanikiwa kuongea na baadhi ya wahusiki na kwa majibu yao leo walikua wanatoa salam tu kwa nyumba zote zenye x na ni kama tangazo kua kuanzia leo siku yoyote watakuja kubomoa, na kwa nyumba amvazo tayari watu walishabomoa nyumba zao na...
  5. Khall

    Taalifa: kama mtu ana taalifa kihusu usaili PPF

    Habari, naomba kujua kama kuna mtu aliyepigiwa simu au kama kuna taarifa yoyote kuhusu usahili wa PPF.
  6. Khall

    Nahitaji kujitotea kazi ya Legal officer

    Kaka ni vyema ukawa unajitolea mahakamani maana ndio naona mchakato wake rahisi kidogo
  7. Khall

    Kuna anaewafahamu sagaci research?

    Sagaci nawafahamu sana, niliwahi fanya nao kazi kipindi cha nyuma mwaka 2012 nakumbuka kipindi hiko ndio walikua wanaingia Tanzania walikua wanalipa vibaya sana nakumbuka ilikua kama elfu 10 tu kwa siku hiyo ndio mshahara na kulikua hakuna cha ziada, nikaachana nao ila nadhani kwa sasa watakua...
  8. Khall

    A young couple

    there are a lot of Mchina so she dont hv 2 wory
  9. Khall

    TV vs wife

    tv tv... wow, kush ney!
Back
Top Bottom