Nahitaji kujitotea kazi ya Legal officer

Feb 8, 2017
79
27
Wakuu habari zenu,

Mimi ni kijana mwenye degree ya sheria, naombeni msaada nataka kujitolea katika law firm kama legal officer.

Natanguliza shukrani.
 
Kaka ni vyema ukawa unajitolea mahakamani maana ndio naona mchakato wake rahisi kidogo
 
Back
Top Bottom