Taalifa: kama mtu ana taalifa kihusu usaili PPF

Khall

Member
Jan 23, 2011
11
18
Habari, naomba kujua kama kuna mtu aliyepigiwa simu au kama kuna taarifa yoyote kuhusu usahili wa PPF.
 
Maswali ya Hivi ni kiashiria cha kiasi ambacho majukumu yanazidi halafu no way out.
 
Hiyo mkuu utasubiria sana. Ingekua inasimamiwa na tume ya utumishi hapo ingekua poa lakini kama ni PPF Wenyewe baasi ni utapeli mtupu. Ebu acha kusubiria vitu ambavyo havipo. Hao ni matapeli wa kimataifa....Pole sana mkuu kwa kusubiri kwenye hamna.
 
PPF kupata kazi ni zaidi ya kipaji.so kuwa na subra kama una kipaji utapata tu.
 
Kama uko mkoani usipoteze nauli kuja kwenye usail PPF utajuta....ukwel ni kwamba hizo nafasi watu washazicover kitaambo sana sana
 
Back
Top Bottom