Recent content by Khalifah Ally

  1. K

    NECTA yatangaza upya Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

    Matokeo yakimagumash hamon aibu, bado mnapga kelele kuhs post mcwaze mnaweza vukishwa six xo kuwen kmya 2 wajomba!@mc shanex@
  2. K

    Kukoma kwa Hotuba za Jk za kila mwezi ndio mwisho wa CCM?

    Mdhaifu hana lolote amezoea kupiga majungu na sasa hana jipya kwan mmesahau sikuile alivyokuwa anampiga mpiga majungu kamanda lema..
  3. K

    Tumpuuze Mwigulu Nchemba na Mwenyekiti Wake(Picha), Tuimarishe haraka Red Brigade

    sio tu arusha bali nchi nzima makamanda tuko tayari kujiunga na red brigade kwani tumechoshwa na huu uonevu unaofanya na polis wakishirikiana na greed guards.
  4. K

    CHADEMA tupeni utaratibu wa kujiunga na RED BRIGADE

    Japo nilishaanza kujifua mdogo mdogo na ukizingatia nilishapita JKT, ila kwa hili la chadema sinto fanya makosa ni lazima nijiunge mchana kweupe hata kama hizo kambi zitaanzishwa kwenye huu mwezi mtukufu nipo tayari kujiunga..
  5. K

    Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

    1.SUGU 2.Pro. JAY 3.AFANDE SELE 4.FID Q 5.JOE MAKIN 6.NIKKI MBISHI 7.LORD EYEZ 8.BONTA 9.ROHO SABA 10.GODZILLA 11.ONE INCREDIBLE 12.JCB 13.NIKKI WA PILI 14.FATHER NELLY 15.BOU NAKO na CHINDO MAN dah kiukweli haWAishi.
  6. K

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Ni bora Padre aliyeonyesha nia ya kuwatumikia wananchi bila kuwabagua kuliko FISADI aliyesabisha mpka leo mama zetu, dada zetu wanazalia chini, watoto wetu wanapata elimu duni, na leo anapita makanisani na misikitin kurudisha kurudisha kidogo kati ya vingi alivyotuibia...!
  7. K

    Mwigulu: Membe, Sitta Hawatapata Urais

    Kama CCM itampitisha Lowassa kugombea urais basi kwa namna moja ama nyingne watakua wameraisisha harakati za ukombozi na CHADEMA itachukua nchi kiulaini. Dr.Slaa ndie tumain letu.
  8. K

    Katibu wa Chadema wilayani Geita anashikiliwa polisi kwa mahojiano -geita .

    Haya yote yanamwisho, SAA YA UKOMBOZI IMEWADIA.
  9. K

    CHADEMA yapotea kata ya Mianzini

    Yaan unatukuza ukanda alaf kisha unajiita mjanja, hv huu ni ujanja au uganga njaa, da ama kwel njaa mbaya, hv umesahau kuwa ccm ina majimbo ya yakutosha huko kaskazin, na pia unasahau kuwa huko unapopaita kwa wajanja chadema ina majimbo na madiwan wa kutosha., ushaur wng hata kama tunawai buku 7...
  10. K

    Wamachinga ni kwanini Wanachoma MOTO pia OFISI za CCM??

    Kwasababu ccm ndio chanzo cha migogoro ming hapa nchi na wasipojirekebisha ipo siku tutamchoma mmoja wao mzimamzima ndio watatia adabu na watafaham kuwa wananch tumeishawachoka.
  11. K

    Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

    Mtoa mada haujitambui kabisa, Dr.Slaa ni tumaini pekee la watanzania waliochoshwa na utawala wa kidhalimu wa ccm..!
  12. K

    Majeshi yetu yajifunze Misri,Walichofanya Mtwara na wanachoendelea fanya hakikustahili

    Ni kweli Mursi ni Jembe ndio maana hata wanajeshi wake wamemuwekea Mpini..
  13. K

    Hivi Wilaya ya Rorya imewakosea nini CHADEMA?

    Nazan ujumbe umewafikia na wameupokea na pia watakuja.
  14. K

    Dhifa ya Kitaifa na Obama: Mbowe ndani ya mwaliko Ikulu

    Ni kwel Mkuu sina chakuongeza zaid ya nukta..!
  15. K

    Siipendi CHADEMA

    Kiukwel unahitaji umakin sana kumuelewa ila nashkuru nimemuelewa...! Hongera kamanda.
Back
Top Bottom